Wana JF wa Morogoro tujuane hapa

Wana JF wa Morogoro tujuane hapa

Kwa kweli usipokuja appointment inahairishwa kabisaaa, sipati picha watakavyonigawana usipokuwepo sista, itakuwa mteremko sana kwao

BTW moro nako kuna samaki samaki au Heaven Sent anatulisha sumu? mi najua ya bongo tu

Ipo my kaka, njoo takupeleka (my treat)

Kwa atoto hata nisipowapa menu poa tu aisee, ilimradi tu nimpe basic need yake inatosha kabisa kwake

Mambo si ndio hayo sasa! Thats wh i love you.
 
Last edited by a moderator:
Daaah ujue nilikuwa sijawasoma vizuri, kumbe mmeanzia mazungumzo mbali hukoooo, ndo nimewafuatilia vizuri nikaelewa. Sasa hapa najaribu kuimagine ndo kweli siku hiyo tunakutana wote (atoto, Heaven Sent na cute b), haya na mimi mito ndo baba lao, khaaaaa!! akyanani siipatii picha hiyo siku!!
Sijui baada ya kuonana mtaendelea kunipenda hivi? mtaendelea kuniheshimu hivi? sijui ndo heshima itaporomoka kuanzia hapo? sijui na mimi nitaendela kuwapenda hivi hivi navowapenda online? yaani nina maswali mengi kichwani kuliko majibu!!

Akyanani I love anonymity

Ila kwa atoto sina wasiwasi kabisaaaa, nikishampa basic need yake hana shida tena na mimi, heshima itaongezeka mara dufu, sema ndo hivyo nije kichwa kichwa alosto daaah, misonyo hiyo sipati picha.
Dada mtumishi yeye atajikaza hivyo hivyo ili mradi asionyeshe kushtuka kwa cho chote ilihali yote kayaweka kumoyo. Huyu cute be ndo sijui kabisa kama ana kifua cha kuficha hisia zake, loh!!

Nawaza waza tu hapa ahaaaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Sista atoto naona imenigomea kukumention hapo juu, rudi mwenyewe kinyume nyume usome
 
Last edited by a moderator:
Vp wapo wale wa kibungo juu, tegetero, bwakila.. Hayo maeno dah! Siku moja niliowa morogoro kubwa sana.

Karibun kilakala mizambarauni
 
Hahaaa unataka unione live kabisa sista? seriously????

Acha uoga basiii, hizi ofa natoaga kwa watu special mara moja kwa miaka10, shaurilo ichezee bahati.
 
Mmh huna lolote, ni vile unajua I can't make it for sure ndo maana unaweka msisitiiizooo!!
 
Daaah ujue nilikuwa sijawasoma vizuri, kumbe mmeanzia mazungumzo mbali hukoooo, ndo nimewafuatilia vizuri nikaelewa. Sasa hapa najaribu kuimagine ndo kweli siku hiyo tunakutana wote atoto, Heaven Sent na cute b), haya na mimi mito ndo baba lao, khaaaaa!! akyanani siipatii picha hiyo siku!!
Sijui baada ya kuonana mtaendelea kunipenda hivi? mtaendelea kuniheshimu hivi? sijui ndo heshima itaporomoka kuanzia hapo? sijui na mimi nitaendela kuwapenda hivi hivi navowapenda online? yaani nina maswali mengi kichwani kuliko majibu!!

Akyanani I love anonymity

Ila kwa atoto sina wasiwasi kabisaaaa, nikishampa basic need yake hana shida tena na mimi, heshima itaongezeka mara dufu, sema ndo hivyo nije kichwa kichwa alosto daaah, misonyo hiyo sipati picha.
Dada mtumishi yeye atajikaza hivyo hivyo ili mradi asionyeshe kushtuka kwa cho chote ilihali yote kayaweka kumoyo. Huyu cute be ndo sijui kabisa kama ana kifua cha kuficha hisia zake, loh!!

Nawaza waza tu hapa ahaaaaaa!!

Hahaha hata usiwaze, watoto wa watu tulivyo wapole hivi. Tuna aibu mwee, tutakuwa tu busy kung'ata vidole. Labda tu atoto ndo atakuwa busy kuangalia wallet yako. Afu Ujikute una mgutambi wako sasa teh. Ila honestly me ntaishia tu kucheka, ntakuwa naimagine kila mmoja wenu na fujo zake za humu
 
Umeona eeh, mi mwenyewe itakuwa ni kucheka tu mwanzo mwisho
 
Hahaha hata usiwaze, watoto wa watu tulivyo wapole hivi. Tuna aibu mwee, tutakuwa tu busy kung'ata vidole. Labda tu atoto ndo atakuwa busy kuangalia wallet yako. Afu Ujikute una mgutambi wako sasa teh. Ila honestly me ntaishia tu kucheka, ntakuwa naimagine kila mmoja wenu na fujo zake za humu

Teh teh teh, nitakuwa nawaza tu sijui atanitoa na ngapi leo? Hayo ya gutambi hata sitayaona. Mie na upole huu nitakuwa kimyaa nakunywa tu juice.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom