Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Anogaaaaa...
Karibuni Bima
Fanya kuandaa wigi lako mapema, tuingie zetu nyumbani park baadaye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anogaaaaa...
Karibuni Bima
Fanya kuandaa wigi lako mapema, tuingie zetu nyumbani park baadaye
Ntajaribu kukutafuta
Usijali mkuu, tutakwambia rangi za Mawigi yetu
Sawa.....la kwako litofautishe lifanane na heaven
Basi usijali, Ntakuja tu na kipilipili changu
Fanya kuandaa wigi lako mapema, tuingie zetu nyumbani park baadaye
Hapa nilipo.
Now ni samakisamaki, ni hatua chache from home, mie nina boonge la para linang'aaaaa hilihili linanifaa.
samaki samaki si jina jipya tu bana, afu wewe ukute ni jirani yule mwenge ngebe maana na yeye ana bonge la upara
Huyo jirani yako km ana tege kam mbanio,bichwa kubwaaa na gutambi basi thats totaly me.
Teh huyu yeye ana bichwa kama jiwe la kusugulia magaga
Hahahaaaaa! Khaah umenikumbusha mbaali, jf bwana!
Mpz na wewe ni wa morogoro?
Hahaha naona weekend hii bado mabalaa ya weaves na migutambi haijaanza
Moro ndo permanent settlement dear, huku miji ya watu nagongea tu
Kumbe kama mimi! Ila now nipo likizo.
Kabisaaa, it ll be sooo wonderfull dear
Aaah basi itabidi siku moja tutafutane tu kwa kweli tumdiscuss mito na gutambi gwake live teh
Kabisaaa, it ll be sooo wonderfull dear