Wana JF wa Morogoro tujuane hapa

Wana JF wa Morogoro tujuane hapa

Hahaaa nitawapiga miofa ya kufa mtu siku hiyo, ila duuuh sipati picha atoto atakavyokuwa nawaza nauli nitawatoa kiasi gani mwisho wa siku!! anaweza awe nasi physically tu lakini kumoyo anawaza tumalize meeting fasta ajue how much she has earned today!!!
Hahaha nimecheka hakyanani, eti atoto atakuwa anawaza tu hela ya nauli. Uzuri kwao ni hatua chache tu kutoka samaki samaki, so hamna kupewa nauli teh teh
 
Last edited by a moderator:

Kwani na wewe ni wa morogoro kuanzia lini? Pesa lazima hujui ndio basic need hiyo?
 
Last edited by a moderator:
Hahaha nimecheka hakyanani, eti atoto atakuwa anawaza tu hela ya nauli. Uzuri kwao ni hatua chache tu kutoka samaki samaki, so hamna kupewa nauli teh teh

Thubutuuuu mie nakaa mbali sana na samaki samaki, kutoka pale hadi home nauli 50elfu.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha usijali my kaka atakuja na vogue lake, atamrudisha kile mtu kwao

Alafu nyumbani nitasemaje nimerudishwa na gari, sipandagi magari ya lifti mimi, ye anipe tu nauli yangu nisepe kivyangu, teh teh teh
 
Teh tukikaribia kufika, tutashuka then tukuescort kwa miguu. Au hupandagi pia miguu ya lift [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alafu wewe mbona mmekazania kunirudisha home? Unajuaje labda nataka kwenda homeee!! Sitaki kurudishwa nataka nauli.
 
Kingalu ndio nani tena?

kwa Wahehe Ni Chief Mkwawa kwa Waluguru ni Chief Kingalu, mtawala wao wa enzi hizo, basi sasa ile ya kutopanda gari lift na kutembea tu kwa mguu ndio jadi ya wazawa na wakazi wa mji kasoro bahari, dumisha mila, hela itumwe tu na sio lift ya vogue, hagaah
 
Ooooh mie sio mzawa ni mkaazi thats y hata siyajui hayo.
 
Basi siji, sina nauli, na my lovely kaka mito hawezi kukubali nisifike eneo la tukio, so walaaa sina hofu.
Teh unavyopenda kula mbona utakuja tu. Afu usipokuja ujue me ndo ntapewa hela nyingi sasa
 
Last edited by a moderator:
My kaka hawezi ruhusu hilo

Kwa kweli usipokuja appointment inahairishwa kabisaaa, sipati picha watakavyonigawana usipokuwepo sista, itakuwa mteremko sana kwao

BTW moro nako kuna samaki samaki au Heaven Sent anatulisha sumu? mi najua ya bongo tu
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli usipokuja appointment inahairishwa kabisaaa, sipati picha watakavyonigawana usipokuwepo sista, itakuwa mteremko sana kwao

BTW moro nako kuna samaki samaki au Heaven Sent anatulisha sumu? mi najua ya bongo tu

njoo ipo, mji kasoro bahari, huku ni raha tu!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa atoto hata nisipowapa menu poa tu aisee, ilimradi tu nimpe basic need yake inatosha kabisa kwake
Teh basic need eeh
Kwa kweli usipokuja appointment inahairishwa kabisaaa, sipati picha watakavyonigawana usipokuwepo sista, itakuwa mteremko sana kwao

BTW moro nako kuna samaki samaki au Heaven Sent anatulisha sumu? mi najua ya bongo tu
Ipo bana inaitwa nyumbani park sema imezoeleka pia kama samaki samaki
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom