Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Ujue fake ID zinanipaga raha sometimes, unabaki kujiuliza huyu mito sijui ni mbaba, sijui ni mbabu, sijui ana gutambi, sijui ni kaandunje teh, basi unabaki kusmile tuUmeona eeh, mi mwenyewe itakuwa ni kucheka tu mwanzo mwisho
Mmh usije tu ukaambiwa uache viatu kaunta my kakaHahaa wala hata sithubutu aiseee, labida kama wallet iwe na ziada ya kutosha ndo naweza kujilipua