My kaka kwani unadhani sie tunakosaga uumbaji wa Mungu basi... Tatizo dada zako tulivyo mmmh usije tu ukaanza kumlalamikia Mungu
Teh nimeacha kwa sasa, tutarudi after breakHebu acha sista bana, looooh!!
Teh waambie dada ako anawasalimia
Now ni samakisamaki, ni hatua chache from home, mie nina boonge la para linang'aaaaa hilihili linanifaa.
samaki samaki si jina jipya tu bana, afu wewe ukute ni jirani yule mwenge ngebe maana na yeye ana bonge la upara
Teh hivi kumbe wewe ndo mmoja wa wanaume wa daslam? Wape hi panya road a.k.a kiboko ya wanaume wa daslamKumbe nyie ni wa 'mkoani'?
Teh hivi kumbe wewe ndo mmoja wa wanaume wa daslam? Wape hi panya road a.k.a kiboko ya wanaume wa daslam
Aah kumbe, haya tutakukaribisha mkoani kwetu once tukigundua "chimbo la mihogo, maana ndo menu yako kuu.Hapana mi sio wa daslam.
Kumbe nyie ni wa 'mkoani'?
Vipi wewe ni wa wilayani?
Ngoja niuze mihogo nije huko mkoani. Nina hamu ya kumtia machoni huyo atoto
Aaah uza tu mpendwa uje, utamkuta kajazana teleee. Ushauri tu; kata kabisa ticket ya go and return, maana possibility ya atoto kukubakiza hata na buku ni ndogo.
Napatikana Kihonda mitaa ya Idiva kuleAusindile?
Leo nimeona tujuane sisi wana Jf wa mkoa wa Morogoro ikiwezekana kutaja mahali ulipo tu.
Unaweza ukajikuta upo jirani na mwana jf mwenzako mkawa mnasaidiana kwenye shida na raha.
Mimi napatikana maeneo ya Kihonda.
Karibuni wana Morogoro wenzangu tujuane.