Wana JF wa Morogoro tujuane hapa

Wana JF wa Morogoro tujuane hapa

Aah kumbe, haya tutakukaribisha mkoani kwetu once tukigundua "chimbo la mihogo, maana ndo menu yako kuu.

Ngoja niuze mihogo nije huko mkoani. Nina hamu ya kumtia machoni huyo atoto
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niuze mihogo nije huko mkoani. Nina hamu ya kumtia machoni huyo atoto

Hebu uza haraka uje na hela ya maana mpenzi, uwiii nikisikia hela kama napagawa hivi!

Aaah uza tu mpendwa uje, utamkuta kajazana teleee. Ushauri tu; kata kabisa ticket ya go and return, maana possibility ya atoto kukubakiza hata na buku ni ndogo.

Bora umwambie kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Ausindile?

Leo nimeona tujuane sisi wana Jf wa mkoa wa Morogoro ikiwezekana kutaja mahali ulipo tu.

Unaweza ukajikuta upo jirani na mwana jf mwenzako mkawa mnasaidiana kwenye shida na raha.

Mimi napatikana maeneo ya Kihonda.
Karibuni wana Morogoro wenzangu tujuane.
Napatikana Kihonda mitaa ya Idiva kule
 
Back
Top Bottom