Nisaidie kuwaambia, eti mimi nilikuwa looser
kinaendelea gani hapa kati ya sahara na Fl?
kinaendelea gani hapa kati ya sahara na Fl?
Haukuwa looser ila ni kwamba Maty alikustukia ulipotaka kumpeleka Hotelini ukaweka mikono kichwani ukawasha gari ukatokomea
Mwakata Baba!
Wameshamwagana wajanja wakasevie tu
Wameshamwagana wajanja wakasevie tu
Derimto mie nipo ati....!ila hiyo rangi bado sijabadili maamuzi
Saharavoice itabidi tukirudi Arusha uandae mpango endelevu kwa ajili ya Maty
we derimto mbona unasema usiyokuwa na hakika nayo?we huioni rangi ya saharavoice ilivyodifa na yako?ila PJ ndo anarangi nzuri tatizo ni mweusi mpaka haonekani
we derimto mbona unasema usiyokuwa na hakika nayo?we huioni rangi ya saharavoice ilivyodifa na yako?ila PJ ndo anarangi nzuri tatizo ni mweusi mpaka haonekani
Hivi Mwenyekiti yuko wapi??
Katokomea na no. Za cm. Ana mpango wa kwenda kuanzisha saccos Kyela
crap!acha majungu wewe mtoto vibaya hivyo umesamwanza na pj. Mbona akicheka anaonekana meno yake na macho pia
kwani wewe unataka umwone wapi zaidi?
Mwelezee, hajui wale jamaa wakiisha wanahamia kwake
katokomea na no. Za cm. Ana mpango wa kwenda kuanzisha saccos kyela
au ndio anaanza kudela na gender kwanza personally ndio maana mimi nilichukua namba juu kwa juu maana niliishaona mwenyekiti anajaribu kuweka maslahi yake kwanza
au ndio anaanza kudela na gender kwanza personally ndio maana mimi nilichukua namba juu kwa juu maana niliishaona mwenyekiti anajaribu kuweka maslahi yake kwanza
Eti anaumwa na kiuno tangu arudi safari.me sijaelewa hicho kiuno chake imekuwaje maana wote tulikuwa safari na viuno vyetu havina tabu kabisaHalafu mi nalaumiwa, bora na wewe uliliona hilo la juu kwa juu. Vipi Teomo kaishia wapi?