Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
MEMKWA NI KWA WOTE.... tena wote kabisa bila kubagua
 
Du! wengine tuko nje ya msitari. Next time jamani mtupe nyepesi. Niko Arusha tangau 20 hivi narudi dar tarehe 3, I could have attended.
Si mbaya kwa waliofika basi enjoy!
 
FirstLady 1 hiyo avatar yako .........................nsijekata rufaa bana
 
Derimto mbona unanitafuta ubaya lakini? Mie siwezishindana na FL hata kidogo yaani simfikii kwa lolote bana yule ni Mama wa Kwanza ati namheshimu.
 
Mkuu, tumeambiwa ni kwa Dar-Branch tu...Usiache watu waanze kunanihiino bana.
Nyorosha hii maneno mkuu.


Mkuu heshma yako bana.................aksante sana kwa namba bana ingawaje kaka PM yako imeanza kwa ukali!! Nimeipokea huku natetemeka kwa woga....nikajua tumelikoroga kwa kumchezea chalii kichaa bana, aliyekufaga halafu GODII akamtema, akarudi kulipiza kisasi chaliii yangu.......atatupasua

Thanx kaka ubarikiwe sana na uwe na mwaka mpya mwema
 
Du! wengine tuko nje ya msitari. Next time jamani mtupe nyepesi. Niko Arusha tangau 20 hivi narudi dar tarehe 3, I could have attended.
Si mbaya kwa waliofika basi enjoy!

jamani jamani....usinifanye nilie mwenzio........
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…