Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
<p>
Hahahaha Keizer wala sitanii asubuhi yawezakukuta ukingali unachezea ile ncha............mjimama wa watu nimetulia tuli kama niko kwenye stakeholders' meeting
</p>
<p>&nbsp;</p>
imenibidi nicheke kwa sauti....habari ake stakeholder meeting bana
 
imenibidi nicheke kwa sauti....habari ake stakeholder meeting bana

kila nikijenga picha ya uso wa mdau wa stekiholdaz miting, najikuta nacheka kama mtambo flani...
 
<p>
<font face="Comic Sans MS">kila nikijenga picha ya uso wa mdau wa stekiholdaz miting, najikuta nacheka kama mtambo flani...</font>
</p>
<p>&nbsp;</p>
umeonaeee...yani hiii baridi ndo inauanza huu mwaka bana
 
Hahaaa ya kweli hayo Fl? Ila PJ hujagundua ma heartbreaker ndo hua wanagombaniwa? Hebu weka na we mkono wako tuuone.


We! Thubutu! Maana hautaonekana ila kwa ushauri anaweza kuweka uso tunaweza kuona macho na meno yake meupe ya kule mikoa ya kwetu.
 
Hahahaha Keizer wala sitanii asubuhi yawezakukuta ukingali unachezea ile ncha............mjimama wa watu nimetulia tuli kama niko kwenye stakeholders' meeting

:help::ranger::ranger::ranger::A S-omg:
 
I wish all JF members a brighter and promising NEW YEAR.......................
 
Shida ilikuwa nini...Loner?
Ndio maana nimewatumieni contacts zote...sasa na wewe fight kivyako!



Jaman nilishamwambia TF. Kuwa afuate taratibu zote na alete advance ya mahari sasa amechelewa itabidi mshauri Teamo afanye fastafasta alete advance na tumpige chini TF. Maana anapaka mapoda bado
 
Derimto mbona unanitafuta ubaya lakini? Mie siwezishindana na FL hata kidogo yaani simfikii kwa lolote bana yule ni Mama wa Kwanza ati namheshimu.


Toleka mama!! Sherrii Niko na wewe hadi bahari ikauke maji hakuna wa kututenganisha watakufa na majungu yao ingawa Big anatishia nyau kwani nini bwana mbwaimbwai acha iwe mbaya tu inzi kufia kwenye nyama ni sawa tu
 
Happy new year 2011 to all memkwa and non memkwa members
 
heheheeeeee

MEMKWA inakaribisha wooote hadi wenye mpango wa kujiua... naanza na FL

uhuhuhuuuuuuuu

Mweka hazina wa MEMKWA tayari nshaandaa risiti.

Damn! Hivi leo lini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom