Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Kaizer mwambie mtoa hii post arudishe ile picha yake aliyovaa T.shirt naimiss kweli kweli :A S-alert1:

Mpenzi hujambo.....nimekusikia kwa mbali umejiunga na MEMKWA.....nasubiri wewe hapa HQ....Happy New Year
 
Preta nashindwa kusema mwenyewe it was so sweet to be true ,Nilitegemea ungenitumia nauli M -pesa nitie team kwenye msafara😛lane:
Happy New Year to u 2 and ur family mamy
 
Winding up 2010....only some few hours to go....
Nawatakia mwaka mpya wa fanaka wana MEMKWA wote....hata wasio wana MEMKWA....
 
heheheeeeee

MEMKWA inakaribisha wooote hadi wenye mpango wa kujiua... naanza na FL

uhuhuhuuuuuuuu
 
Winding up 2010....only some few hours to go....
Nawatakia mwaka mpya wa fanaka wana MEMKWA wote....hata wasio wana MEMKWA....

Happy New Year na kwako pia
 
yaani hapo unantafuta 'nifunge mwaka na wewe' sasa MJ1...maneno gani ayo?
Hahahaha Keizer wala sitanii asubuhi yawezakukuta ukingali unachezea ile ncha............mjimama wa watu nimetulia tuli kama niko kwenye stakeholders' meeting
 
Yaani huwezi amini niko hapa nasubiria mwaka namkuta Wiselady na RayB wako hapa. Happyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy!!!!!!!!!!!!new!!!!!!!!!!!!
 
happy new yr mangi!naona ulikamatiwa mto wa mbu,,,uje na ndizi za kula pilau
 
Yaani huwezi amini niko hapa nasubiria mwaka namkuta Wiselady na RayB wako hapa. Happyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy!!!!!!!!!!!!new!!!!!!!!!!!!

happy new yr mangi!!!tunakusubiri pande hizi ujue
 
<p>
Hahahaha Keizer wala sitanii asubuhi yawezakukuta ukingali unachezea ile ncha............mjimama wa watu nimetulia tuli kama niko kwenye stakeholders' meeting
</p>
<p>&nbsp;</p>
imenibidi nicheke kwa sauti.....habari yake stakeholder meeting bana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…