Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
OMG! Mawani yangu iko wapi?

Ngoja babu arudi kitandani!

..............Babu unanijua vema mjukuu wako...sisemi uongo wala situngi.......niliiona live tena kwenye menu ya chakula pale hotelini lol
 
Bibi naye ana wivu na uzee wote ule. Eti mawani yangu yanionyesha mabaya. Hata simwelewi.

Hahah.... Tatizo lako na wewe babu umezidi mno kutoa macho!! Mwe...
 
..............Babu unanijua vema mjukuu wako...sisemi uongo wala situngi.......niliiona live tena kwenye menu ya chakula pale hotelini lol

We subiri, una kesi ya kujibu. Badala ya kusoma menu ya misosi we unahangaika na bei ya vifanyio. Lazima nikuchape bakora.
 
Pole sana ila hayo nidyo maisha bora kwa kila mtanzania... Labda ilikua imported from Europe ama USA na siyo brand ya CHINA...
hahahah Abari ake Loner wa The Finest??
We bana we kwa kweli mko juu chalii angu................2500!! hapo ni kama wekundu ati.
 
We subiri, una kesi ya kujibu. Badala ya kusoma menu ya misosi we unahangaika na bei ya vifanyio. Lazima nikuchape bakora.
Babu ukipewa menu sio unaangalia herufi ya kwanza ya chakula unachotaka..........pitia menu yote herufi kwa herufi bana.

Mwanzoni nlijua ni aina ya chakula kule mndeny bana hadi Babu mnoko Finest aliponitafsiria ati........... lol vifanyio
 
Hii taarifa ya bei ya vifanyio mbona sijaiona kwenye ripoti ya mlinzi shirikishi ze ten sauzend finest?
1. Finest atakula BAN
2. Mjukuu utakula bakora!
 
OMG! Mawani yangu iko wapi?

Ngoja babu arudi kitandani!

hahaha!babu staili yako ya kurudi kitandani bado inaendelea??wasalimie wajukuu zako wote waambie heri ya mwaka mpya,,na mimi narudi kitandani
 
hahaha!babu staili yako ya kurudi kitandani bado inaendelea??wasalimie wajukuu zako wote waambie heri ya mwaka mpya,,na mimi narudi kitandani

Hiyo post via mobile, huko kitandani uko na Kimey. Taarifa zako zote nnazo. Lazima nikugague ili nijiridhishe.
 
hahaha!babu staili yako ya kurudi kitandani bado inaendelea??wasalimie wajukuu zako wote waambie heri ya mwaka mpya,,na mimi narudi kitandani

vipi mama Kimey.....
maisha yanaendeleaje???
mmmhhh nime ku miss sana yaani...
heri ya mwaka mpya...
 
Babu ukipewa menu sio unaangalia herufi ya kwanza ya chakula unachotaka..........pitia menu yote herufi kwa herufi bana.

Mwanzoni nlijua ni aina ya chakula kule mndeny bana hadi Babu mnoko Finest aliponitafsiria ati........... lol vifanyio
Lol! Mjukuu mimi naona huyu babu yetu ni bora tukamuweka kwenye ule mpango wa MEMKWA aende akapumzike kidogo
 
hahahah Abari ake Loner wa The Finest??
We bana we kwa kweli mko juu chalii angu................2500!! hapo ni kama wekundu ati.

Nimesha kua wa the finest... lol... Hii michakato mbona imenipita mimi... Naomba kujua nani amehidinisha...
 
We! Thubutu! Maana hautaonekana ila kwa ushauri anaweza kuweka uso tunaweza kuona macho na meno yake meupe ya kule mikoa ya kwetu.

Hahaaaa kumbe hafai kama anaonekana macho na meno tu, duh sitaki tena.
 
You too kaka ncha........una kesi ya kujibu nini kumwacha mgeni katikati ya jiji usiku ??

hahaha MJ1, nitaijibu, mi nilikuwa mgeni pia!! sasa ktk harakati za kutafuta nyama choma nikapotea njia
 
Preta, heri ya mwaka mpya.

umekuja na avatar nzuri! nakupa 5. kesi gani tena jamani? maana MJ1 nae ananiambia nnina kesi kubwa

Nawe pia heri ya mwaka mpya.......
kupotea kwa mwanakondoo ililigharimu sana kundi.......hasara kubwaaaaa
 
kweli aisee Preta, si unajua hata mwenye 100 akipotea 1 basi atamtafuta mpotevu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…