The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Overview ninayo bana....
Na niko konektedi na mzee wa MEMKWA aka Tindikali...
kaka unaniangusha mpaka leo upo kwenye fisibiliti stadi....ohooo watachakachua wenzako!!:A S-alert1:
Wewe dogo endelea tu kutuna wakunga na uzazi ungalipo utalia ohoooo kwa nza nimeghairi mdogo wangu anaenda shule Australia keshokutwa humpati tena
Aisee kondoo waliotoka Dar kwenda Arusha walirudi salama kabisa tumeona Arusha kuna potential sana kwahiyo mwezi huu naenda kufungua tawi kule
Du..kiongozi kweli wewe upo hapa town?...Umeadimika kiongozi...!Hiyo Avatar yako imeniacha hoi??, mambo kwa kweli yalikuwa poa japo niliondoka mapema
Machalii wa arusha utawaweza??? Na uki :A S-smoking: kwishnei...
Nishampa...shida yake akipata Voice-of-Reason anasahausahau sana...utakuta aliiacha palepale kwa Chausiku!Shsssss!!!!! Taratibu basi watu wasisikie hivi ile cheque uliipata nilimpa PJ...
Hivi mmesema hii safari ya Arusha itakuwa lini vile?
Nishampa...shida yake akipata Voice-of-Reason anasahausahau sana...utakuta aliiacha palepale kwa Chausiku!
Hivi mmesema hii safari ya Arusha itakuwa lini vile?
hiyo avatar yako imeniacha hoi??, mambo kwa kweli yalikuwa poa japo niliondoka mapema
Mmeeku namba yangu ni 0784arusha...acha ukabaila...
Ukabaila unatoka wapi kwenye safari ya Arusha?
FYI we ni mwanachama hai wa MEMKWA!
Ukabaila unatoka wapi kwenye safari ya Arusha?
FYI we ni mwanachama hai wa MEMKWA!
Du..kiongozi kweli wewe upo hapa town?...Umeadimika kiongozi...!
Ngoja nimwambie Preta akupigie fasta mfikie mwafaka wa hiyo avatar!
muzee upo mujini au ndio umeishakimbia???
Hahahaaa....
Mi mwanachama mwandamizi ati....
Ila viongozi waandamizi wa chama hamkuwepo. Nlishindwa kutoa risiti kuogopa ufisadi.