Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
he... hapa niko arusha au dar??

Hivi first lady ndio yupi?
humjui mama wa kwanza kwani?nipm utanijua haraka sana.muulize sahara voice siku moja tu kaniona mpaka leo ananiulizia kwenye jf
 
freetown endelea kuenjoy,,,achana na huyu anayecheza pata potea
we mbona jana nimekutafuta sana kwenye cm ukawa hupokei?inamaana hukukuta missed cal ya mama wa kwanza kwenye cm yako?angalia usije poteza bahati ati................
 
we mbona jana nimekutafuta sana kwenye cm ukawa hupokei?inamaana hukukuta missed cal ya mama wa kwanza kwenye cm yako?angalia usije poteza bahati ati................
tell her, tell her!!
 
we mbona jana nimekutafuta sana kwenye cm ukawa hupokei?inamaana hukukuta missed cal ya mama wa kwanza kwenye cm yako?angalia usije poteza bahati ati................

nisamehe babegal nilikuwa nafanya makabidhiano juu yako na freetwn kwa kufuta mkataba wa sahara,,,ntakusemesha soon
 
Karibu mkubwa, unatumia kinywaji gani? dadii imeisha lakini, tuna mbege ya Kibosho tu.
Asanteni watu wangu ila Ngastuka machale ngani desa mama muuza pombe leo ametia maji ila niajeni watu wangu pande za wapi Ololo, Ngalelo, Matejo, Kijenge juu ama chini, Mbauda, Miazini ama kwa watoto wa mashavuni Njiro ata nitie timu 2jumuike pamoko?
 
Usiogope mamito hao makabaila nikiwepo hawata fanya chochote nipo kukulinda! Karibu u join the friends of JJ.

Thanx....
Atleast now nina mlinzi wa ukweli....:becky:
 
Happy New Year...!
Uko sawa ZD?
Kwanini ukafutilia mbali No; zangu, na niki'dipu hupoke?
Sio kama napenda wa kwetu.Huku mlimani siruhusiiwi kuwa richabo,hivyo nazima simu muda wote.Ila ntakutafuta hivi karibuni ikiwezekana tripu ijayo ya Atown ntaunga tela.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…