Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
freetown endelea kuenjoy,,,achana na huyu anayecheza pata potea
we mbona jana nimekutafuta sana kwenye cm ukawa hupokei?inamaana hukukuta missed cal ya mama wa kwanza kwenye cm yako?angalia usije poteza bahati ati................
 
we mbona jana nimekutafuta sana kwenye cm ukawa hupokei?inamaana hukukuta missed cal ya mama wa kwanza kwenye cm yako?angalia usije poteza bahati ati................

nisamehe babegal nilikuwa nafanya makabidhiano juu yako na freetwn kwa kufuta mkataba wa sahara,,,ntakusemesha soon
 
Karibu mkubwa, unatumia kinywaji gani? dadii imeisha lakini, tuna mbege ya Kibosho tu.
Asanteni watu wangu ila Ngastuka machale ngani desa mama muuza pombe leo ametia maji ila niajeni watu wangu pande za wapi Ololo, Ngalelo, Matejo, Kijenge juu ama chini, Mbauda, Miazini ama kwa watoto wa mashavuni Njiro ata nitie timu 2jumuike pamoko?
 
Happy New Year...!
Uko sawa ZD?
Kwanini ukafutilia mbali No; zangu, na niki'dipu hupoke?
Sio kama napenda wa kwetu.Huku mlimani siruhusiiwi kuwa richabo,hivyo nazima simu muda wote.Ila ntakutafuta hivi karibuni ikiwezekana tripu ijayo ya Atown ntaunga tela.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom