Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
hahaha!hongera kwa kunena,,naomba tafsiri yake
Mpendwa.....tukivuviwa hadi tutafsiriwe na nabii......namsubiria anitafsirie lakini inahusiana na mambo ya mupenji wangu, mupenji wangu kisha hiyo ahaaaa ni kuhug huku unapiga piga mgongoni. (Mwanangu mpenzi ndo huisema hii kila akiniona .... Manenei, manenei..... ahaaa- kinanihug)
 
Babu Bigi ......itabidi unilipe maana hapa nimekufanyia bonge la Promo ati...........sasa hivi PM box yako itajaa
 

Nimependa hapo mwisho,,naimagine vile unajiskia!lazma awe mrembo kama mum wake
 
Sasa hapo umeshakubali kwa bigi au???? Naona hatibreka anafunga bao la kisigino...

.....Aah natafuta kale kakatuni kanachoonesha 'no no no no!!!'
Umekiona wapi eti...?!!!
 
Nashukuru nimerudi salama nilikuwa nimeenda arusha kuwajulia hali na kuangalia maslahi yangu binafsi arusha kama alipata matatizo kwenye varangati la jana maana nilikuwa nina wasiwasi na uwekezaji wangu unaweza kuwa umeingia doa
 
.....Aah natafuta kale kakatuni kanachoonesha 'no no no no!!!'
Umekiona wapi eti...?!!!

Afadhali bana...haka hapa...:nono:......changanya na hitu twingine :lying: :lie:
 
Afadhali bana...haka hapa...:nono:......changanya na hitu twingine :lying: :lie:
.............Babu hapa lazima kuna maslahi yako hapa.......haiwezekani ushabikie Bigi kupewa soli ya kiatu hapa
 
.............Babu hapa lazima kuna maslahi yako hapa.......haiwezekani ushabikie Bigi kupewa soli ya kiatu hapa

Namlinda Smiles kwa hatibreka mkuu....hamna kingine (Smiles, mimi tu ndo mlinzi hodari)
 
Babu The Finest karibu ..........afadhali yako weye unaonyesha caring kwa vitendo duh....hadi Arusha??
 

Ha ha ha ha ha lol!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…