Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Karibu sana mlimani.nilikuwa nakusubiri kwa hamu.Huku Uwepo wa Bwana ni mkubwa sana.Naenda mlimani dia,catch u later
Nakuaminia,,ngoja nikupe:hug::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
Karibu sana mlimani.nilikuwa nakusubiri kwa hamu.Huku Uwepo wa Bwana ni mkubwa sana.
Amina nabii,,ndo naanza safari nahitaji sana kuongezewa nguvu
Amina nabii,,ndo naanza safari nahitaji sana kuongezewa nguvu
Ubarikiwe sana.Lakn jichunge sana na wachungaji wa uongo usije ukarudi nyuma kiroho.Mie nakuombea
Afu na wewe...hivi uchumba huwa unakufa?
Nipo mlimani namwomba Roho wa bwana anifunulie kama kweli huu uchumba ni wa Bwana au wa shetani...
Ten sauzend oyeee!Bwana na akufunulie katika Roho na Kweli.
....... Duh.....asa weye wataka tuvujishe siri eh?! Jua tu JF crews walikutana Arusha few weeks kabla ya maandamano ya Chadema. InatoshaNaomba kueleweshwa kama mkutano huu ulikuwa moja ya chachu ya maandano yaliyofanyika jana. Kama ndivyo JF imekua.
na nasikia hawa huwa wanafunzwa unyagoni....toka wakiwa watoto namna ya kumfurahisha, kumtosheleza na kumhudumia mwanamke..... (kama sie wanavyofanywa wazaramo na wamakonde- sasa wao wanaume ndo wanafunzwa)- mdada what more do you need in a relationship lolhahaha!sawa mutu ya kongo,,vipodozi kwa sana,,lazma ununuliwe pamba,ulishwe,upelekwe saloon,upewe pocket money,,,mbona namuonea huruma
na nasikia hawa huwa wanafunzwa unyagoni....toka wakiwa watoto namna ya kumfurahisha, kumtosheleza na kumhudumia mwanamke..... (kama sie wanavyofanywa wazaramo na wamakonde- sasa wao wanaume ndo wanafunzwa)- mdada what more do you need in a relationship lol
Hey vijukuu, vitukuu, vibabu, vibaba and the rest of the crap......the st. yuko hapa.....ana salamu za kiroho....wiselady, smiles any volunteer?
Kwanza rekebisha hapo uliposema "and the rest of the crap" maana unamaanisha kwamba na sisi uliotutaja ni moja kati ya craps.....?
Me is sooooo angry at you katibu....................................
Ten sauzend oyeee!
Jamani...hamjamboni hapa kwa mpigo?
Smiles kwa nini unawapoke wenzio?
Wiselady twenzetu mlimani mambo naona yameiva sasa
Asprin na St RR nimewasona sana will be back shortly
Jamani...hamjamboni hapa kwa mpigo?
Smiles kwa nini unawapoke wenzio?
Wiselady twenzetu mlimani mambo naona yameiva sasa
Asprin na St RR nimewasona sana will be back shortly
Nakusubiri hommie.
Ila Avatar ya Smiles usiiguse tafadhali. Ni mali yangu peke yangu.