Good afternoon.....
Me luv the fact kwamba hauko via mobile.....
Good afternoon darling....Babu loves you and your avatar!
Uko salama? Na shem mliachana vizuri? Sipendi mkikutana mnanuniana kama mmekula membe mabichi:rain:
Me luv the fact kwamba hauko via mobile.....
Tatizo unavamia kabla babu hajamalizia logistics....... ndo maana huwa unalala njaa sababu ya kiherehere chako.
Nlitaka u-Smile nawee lol....unaweza kuibadili avatar yako unirudishie ile ya zamani? Bado nna mapenzi nayo. Please do it for me tafadhali. Will you?hahahahah.......
hujatulia wewe..... umetuona wapi tunanuniana!!!!
Bila wivu utajuaje kama nakupenda?Tatizo babu ana wivu mno.......
Tatizo babu ana wivu mno.......
Nlitaka u-Smile nawee lol....unaweza kuibadili avatar yako unirudishie ile ya zamani? Bado nna mapenzi nayo. Please do it for me tafadhali. Will you?
Bila wivu utajuaje kama nakupenda?
Hapa na-share na ku-care at the same time....wivu hauuwi smiles...ignore....
Hapa na-share na ku-care at the same time....wivu hauuwi smiles...ignore....
hapo kwenye red ndio pa muhimu zaidi.....
achana na ile avatar....hujui kuna watu walitaka kuimiliki sasa mi nikaamua kulinda maslahi yako.....
hahahahah!!!!
Super dear.....!! ulikuwa wapi kwani??
mbona nakumiss hivyo......mwe!!!
Nakusubiri hommie.
Ila Avatar ya Smiles usiiguse tafadhali. Ni mali yangu peke yangu.
Usipoirudisha sitacheza na wewe........!
Jamani wewe mbaya......ooh finally u r not posting via mobile
Miss u too mamushkaz...haaa....nipo ambaye niko!
Hii inahusu sana.......Orait...noted noted! maadam ni avatar tu, hakuna shida, mi nitabaki na smiles na SMILE mwenyewe hommie apo vipi?
Jamani wewe mbaya......
finally u are here.....usipotee kihvyo basi! sawa eeh!!
Hii inahusu sana.......
LOVE that...seriously we need to πhone:πhone:πhone:ASAP...
Usijesema sijakuonya.....maslahi ya babu yanaweza kugharimu uhai wa chochote kilicho mbele yake. Hata wanaojiita watakatifu feki.
heheheh.......seriously! (babu anasoma hii lakini....mbona kasheshe ninayo!!)