Qulfayaqul
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 480
- 84
bonge la msosi limetulia ile kinoma, hapa mm mzee wa misosi udenda unanitoka.and you have missed this either:
bonge la msosi limetulia ile kinoma, hapa mm mzee wa misosi udenda unanitoka.
Mkuu, surveillance will be offered as per your request!...Ila ni kazi kweli kumdhibiti WL,maana ni mjanja sana!...kona zote za mtaa wa nanihiino anazijua kishenzi!Halafu huyu fitina zake ila najua jinsi gani ya ku-deal naye PK nakupa kazi ya kumfanyia surveillance WiseLady hadi nitakapo rudi chochote kitakachotokea you will be held responsible lol!!!!
Umeshikwa na njaa asubuhi hii
hao sikuwa na imani nao kabisa nilimpa kimey atakupatia leo.
Mkuu, surveillance will be offered as per your request!...Ila ni kazi kweli kumdhibiti WL,maana ni mjanja sana!...kona zote za mtaa wa nanihiino anazijua kishenzi!
Itabidi u'top-up ile 300$ ili tuifanye kazi hiyo kwa umakini, maana 1500$ uliyotoa juzi ishaisha!!
Mkuu, hivi sijawapostia namba za members eeh?...ngoja niwatumie fasta ili uwasiliane nae live...!Kwa kweli ilikuwa ni fwantastic, Maty where are you?
Hapatikani naambiwa babu ameanza kumfundisha jinsi ya kukagua yawezekana yupo busy huko
We hupendi rushwa?hahaha!namuonea huruma fainest kwa kukuamini,,,laiti angejua kuwa anadeal nampenda rushwa!!
Hello sweetheart pole na safari aisee mlichelewa sana kuingia poleni are u ok , nimeshawamiss mno.
Mkuu, surveillance will be offered as per your request!...Ila ni kazi kweli kumdhibiti WL,maana ni mjanja sana!...kona zote za mtaa wa nanihiino anazijua kishenzi!
Itabidi u'top-up ile 300$ ili tuifanye kazi hiyo kwa umakini, maana 1500$ uliyotoa juzi ishaisha!!
We hupendi rushwa?
Kile ulichopewa na Chipukizi ninini hadi ukaondoka nae, huku ukimtelekeza ze Finest!...acha bana...!usione kwa vile tuko kimya hatujui ufisadi na hongo unazotumiwa kwa njia ya posta!
hahaha!namuonea huruma fainest kwa kukuamini,,,laiti angejua kuwa anadeal nampenda rushwa!!
Unakaribishwa tena na tena truthly it was a superb evening , hivi mmemcheki wise lady kwenye buti maana mikakati yake ilikuwa ni kuondoka na nyie by any means.
aLWAYS AVAILABLE mkuu...nikisafiri sana nimeenda kwa Matty morogoro, maana tuna ukoo!Huku ni mbusi, mbege na bia chache.....planning for a short arusha visit...will link with u...
Oyaaaaa!.....U mzima weye?
Thanx alot dear for being Maty....thanks for your heart...thanx for your decision to join us dear...
Tunajisikia fahari sana kama jambo letu linatoa pia hisia kwa wengine.....
Nipe story za barabarani...Ze Finest hakukuletea uchokozi?..nambie nitamzibiti!