Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
and you have missed this either:

r71xfa.jpg
bonge la msosi limetulia ile kinoma, hapa mm mzee wa misosi udenda unanitoka.
 
Halafu huyu fitina zake ila najua jinsi gani ya ku-deal naye PK nakupa kazi ya kumfanyia surveillance WiseLady hadi nitakapo rudi chochote kitakachotokea you will be held responsible lol!!!!
Mkuu, surveillance will be offered as per your request!...Ila ni kazi kweli kumdhibiti WL,maana ni mjanja sana!...kona zote za mtaa wa nanihiino anazijua kishenzi!
Itabidi u'top-up ile 300$ ili tuifanye kazi hiyo kwa umakini, maana 1500$ uliyotoa juzi ishaisha!!
 
hahaha!namuonea huruma fainest kwa kukuamini,,,laiti angejua kuwa anadeal nampenda rushwa!!
 
We hupendi rushwa?
Kile ulichopewa na Chipukizi ninini hadi ukaondoka nae, huku ukimtelekeza ze Finest!...acha bana...!usione kwa vile tuko kimya hatujui ufisadi na hongo unazotumiwa kwa njia ya posta!
 
Hello sweetheart pole na safari aisee mlichelewa sana kuingia poleni are u ok , nimeshawamiss mno.

ASANTE SANA YAANI TODAY YOU LOOK MORE BEAUTIFUL SWEETHEART AU SIJUI NI SABABU YA KUWA I MISSING YOU SO MUCH LOL!!!! WE HAD BLAST WITH YOU GUYS WE DO APPRECIATE NEXT TIME IS ON US THAT PLACE TULIPOKULA ILE NYAMA DAH NIMEISHAANZA KUIKUMBUKA NA KUSIKIA NJAA ACHA TU
 
Mkuu, surveillance will be offered as per your request!...Ila ni kazi kweli kumdhibiti WL,maana ni mjanja sana!...kona zote za mtaa wa nanihiino anazijua kishenzi!
Itabidi u'top-up ile 300$ ili tuifanye kazi hiyo kwa umakini, maana 1500$ uliyotoa juzi ishaisha!!

Khaaa!!!!! Huyu mwanamke we need extra effort to make sure we nail her
 
We hupendi rushwa?
Kile ulichopewa na Chipukizi ninini hadi ukaondoka nae, huku ukimtelekeza ze Finest!...acha bana...!usione kwa vile tuko kimya hatujui ufisadi na hongo unazotumiwa kwa njia ya posta!

Kumbe kuna kitu alipewa na Chipukizi didn't know about thisi will have to deal with Chipukizi pia
 
ASANTE SANA YAANI TODAY YOU LOOK MORE BEAUTIFUL SWEETHEART AU SIJUI NI SABABU YA KUWA I MISSING YOU SO MUCH LOL!!!! WE HAD BLAST WITH YOU GUYS WE DO APPRECIATE NEXT TIME IS ON US THAT PLACE TULIPOKULA ILE NYAMA DAH NIMEISHAANZA KUIKUMBUKA NA KUSIKIA NJAA ACHA TU
Unakaribishwa tena na tena truthly it was a superb evening , hivi mmemcheki wise lady kwenye buti maana mikakati yake ilikuwa ni kuondoka na nyie by any means.
 
Huku ni mbusi, mbege na bia chache.....planning for a short arusha visit...will link with u...
 
aLWAYS AVAILABLE mkuu...nikisafiri sana nimeenda kwa Matty morogoro, maana tuna ukoo!
Mbona uko kijijini na hujapost 'VIA MOBILE"?
 
Oyaaaaa!.....U mzima weye?
Thanx alot dear for being Maty....thanks for your heart...thanx for your decision to join us dear...
Tunajisikia fahari sana kama jambo letu linatoa pia hisia kwa wengine.....
Nipe story za barabarani...Ze Finest hakukuletea uchokozi?..nambie nitamzibiti!

mzima dearest, 2nawashukuru sana kwa mapokez yenu mazuri pamoja na kuwastukiza lakini mme2karimu sana kiukweli 2meinjoy sana sana sana. yaani uko safarini kulikua hakuna kuchokozana kila m2 alikua amechoka. 2nawashukuru na madereva we2 kwa ku2leta na ku2rudisha salama though wote 2lichoka ila wao wamefanya kaz ya ziada hawakupata nafac ya kusinzia mungu awabariki sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom