The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
we ulikuja moshi lini acha uongo. Sijaona jina lako kwenye kitabu cha maudhurio
hebu angalia vizuri viongozi wa msafara walikuwa wakina nani maana naona unataka kuchakachua sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we ulikuja moshi lini acha uongo. Sijaona jina lako kwenye kitabu cha maudhurio
zidumu fikra za mwenyekiti
<p></p>
<p> </p>
hapa situmii miwani kusoma hii....hivi digi digi nasikia ulikuwa na namba zote za wadada kabla hujaenda ar, lakini ulivyofika ar hukuangaika kuchukua za wanaume bana.
Mkuu,Orait....kijana wangu upo!
It was so nice to at leasem have the audience with you,,,it felt like...."i was there....closer'
Thanks Mdhamini Bigi, Teamo, LD, MJ1 (heartbreaker? No way) FL, Kimey (ndugu yangu aliyebaki) Maty.....am happy mlifika salama nami pia nipo kwen kiota changu cha kawaida! See you in the next few days!
orait....kijana wangu upo!
It was so nice to at leasem have the audience with you,,,it felt like...."i was there....closer'
thanks mdhamini bigi, teamo, ld, mj1 (heartbreaker? No way) fl, kimey (ndugu yangu aliyebaki) maty.....am happy mlifika salama nami pia nipo kwen kiota changu cha kawaida! See you in the next few days!
hii post arusha hangover ndio kabisaaaa inanitia machungu
:car: To dera and kidole juu
hadi huu mpango wa memkwa uiishe dah!!!! Wafichwa kwenye dera atii, itabidi unipe cordinates
dem no worry mkuuhadi huu mpango wa memkwa uiishe dah!!!! Wafichwa kwenye dera atii, itabidi unipe cordinates
Mimi mzima kabisa namshukuru Mungu kuweza kufika siku na tarehe ya leo,umenionea loner?habari yake dig dig???
mwanajamii 1 huu ni uchokozi.sikuona hii maneno jana ningeomba upewe ban na moderator.lakini mbona nilimpa nafasi na Tf akashindwa kuzungumza?tatizo huyu dogo hajiamini kabisa akikutana na wanawake wazuri.niliona arusha alivyokuwa anateseka na hisia ndani ya roho baada ya kimwili kuwa karibu na loner lakini kiroho kushindikana ati!Derimto mbona unanichokoza lakini? wakati uisema una moyo wa kike?? Nauhofia moyo yangu bana usijeuvunja bure labda FL akawithdraw ile thread yake bana.
Mzee wa MEMKWA ......................naomba nipate lau nafasi nami nisafiri tena lol nimenogewa.
BAbu Bigirita, mzee wa tekniks maana duh njia nzima alihakikisha anamteka FL kwa malavedave........mara oh FL I love the whole of you, mara oh tuchimbe dawa duh........................
Ama kweli weupe unawapenda lakini weusi ni dawa ya roho
Tatizo wewe dogo wakati tunarudi kutoka Arusha Babu Bigirita alikukagua ndani ya gari kwahiyo ni kama vile umeishaharibikiwa btw hebu muacheni loner kama unataka kutapikiwa vipepeo au kupigwa free kick wewe endeleamwanajamii 1 huu ni uchokozi.sikuona hii maneno jana ningeomba upewe ban na moderator.lakini mbona nilimpa nafasi na Tf akashindwa kuzungumza?tatizo huyu dogo hajiamini kabisa akikutana na wanawake wazuri.niliona arusha alivyokuwa anateseka na hisia ndani ya roho baada ya kimwili kuwa karibu na loner lakini kiroho kushindikana ati!
Hahahah we Babu mkagua naniliu kumbe haya umenirushia mie? loh mwenzangu ulimpa yale vere vere hadi wivu ukanjaa, mie wanipa haya yaimbwayo na wabongo fleva?! ctaki<p></p>
<p> </p>
Babe, i love ya. i cant get you out of my head
mwanajamii 1 huu ni uchokozi.sikuona hii maneno jana ningeomba upewe ban na moderator.lakini mbona nilimpa nafasi na Tf akashindwa kuzungumza?tatizo huyu dogo hajiamini kabisa akikutana na wanawake wazuri.niliona arusha alivyokuwa anateseka na hisia ndani ya roho baada ya kimwili kuwa karibu na loner lakini kiroho kushindikana ati!
akinitapikia vipepeo me napiga chato mdomdogo hadi a town afu uone chalii wangu mziki utakaoibuka huko.yaani hata kwa wekundu huingiiTatizo wewe dogo wakati tunarudi kutoka Arusha Babu Bigirita alikukagua ndani ya gari kwahiyo ni kama vile umeishaharibikiwa btw hebu muacheni loner kama unataka kutapikiwa vipepeo au kupigwa free kick wewe endelea
hahahahaa mwenzangu mie kesi sitaki
Lile jukwaa wakiliweka kwa siku lazima litakuwa na posti lukukikama jf hawataweka lile jukwaa tuliloomba la kutafuta mchumba,basi mwaka wangu wa 2011 utakuwa mbaya
kama jf hawataweka lile jukwaa tuliloomba la kutafuta mchumba,basi mwaka wangu wa 2011 utakuwa mbaya
FL,
Kwani kutafuta wachumba kunahitaji jukaa maalum? Mimi nashauri muandae orodha mpeleke kwa Invisible naye atairusha kama matangazo ya biashara au kazi anayorusha bure kwa hisani ya JF. Pia unaweza kumwomba atangaze kuwa wenye shida kama hiyo wampelekee majina yao na resume' ili avirushe hewani. Au wewe unaonaje?