Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
zidumu fikra za mwenyekiti

Orait....kijana wangu upo!

It was so nice to at leasem have the audience with you,,,it felt like...."i was there....closer'

Thanks Mdhamini Bigi, Teamo, LD, MJ1 (heartbreaker? No way) FL, Kimey (ndugu yangu aliyebaki) Maty.....am happy mlifika salama nami pia nipo kwen kiota changu cha kawaida! See you in the next few days!
 
<p></p>
<p>&nbsp;</p>
hapa situmii miwani kusoma hii....hivi digi digi nasikia ulikuwa na namba zote za wadada kabla hujaenda ar, lakini ulivyofika ar hukuangaika kuchukua za wanaume bana.

ha ha ha ha ha tulikuwa tuna apply ile slogan ya ladies first na ile ya the whole of me
 
Orait....kijana wangu upo!

It was so nice to at leasem have the audience with you,,,it felt like...."i was there....closer'

Thanks Mdhamini Bigi, Teamo, LD, MJ1 (heartbreaker? No way) FL, Kimey (ndugu yangu aliyebaki) Maty.....am happy mlifika salama nami pia nipo kwen kiota changu cha kawaida! See you in the next few days!
Mkuu,
Utamu wa ngoma ni uingie ucheze!
Ponder't!
 
hii post Arusha hangover ndio kabisaaaa inanitia machungu

:car: to dera and kidole juu
 
orait....kijana wangu upo!

It was so nice to at leasem have the audience with you,,,it felt like...."i was there....closer'

thanks mdhamini bigi, teamo, ld, mj1 (heartbreaker? No way) fl, kimey (ndugu yangu aliyebaki) maty.....am happy mlifika salama nami pia nipo kwen kiota changu cha kawaida! See you in the next few days!

aisee mwenyekiti nashukuru sana maana ile breakfast ya asubuhi tuliyopata wote pale moshi mjini na crew yote iliyoenda arusha ilikuwa nzuri sana pia na mazungumzo na utani wa hapa na pale sema tu mbege ndio ili miss pale lakini otherwise we really enjoyed
 
hii post arusha hangover ndio kabisaaaa inanitia machungu

:car: To dera and kidole juu

hadi huu mpango wa memkwa uiishe dah!!!! Wafichwa kwenye dera atii, itabidi unipe cordinates
 
Derimto mbona unanichokoza lakini? wakati uisema una moyo wa kike?? Nauhofia moyo yangu bana usijeuvunja bure labda FL akawithdraw ile thread yake bana.

Mzee wa MEMKWA ......................naomba nipate lau nafasi nami nisafiri tena lol nimenogewa.

BAbu Bigirita, mzee wa tekniks maana duh njia nzima alihakikisha anamteka FL kwa malavedave........mara oh FL I love the whole of you, mara oh tuchimbe dawa duh........................
Ama kweli weupe unawapenda lakini weusi ni dawa ya roho
mwanajamii 1 huu ni uchokozi.sikuona hii maneno jana ningeomba upewe ban na moderator.lakini mbona nilimpa nafasi na Tf akashindwa kuzungumza?tatizo huyu dogo hajiamini kabisa akikutana na wanawake wazuri.niliona arusha alivyokuwa anateseka na hisia ndani ya roho baada ya kimwili kuwa karibu na loner lakini kiroho kushindikana ati!
 
Tatizo wewe dogo wakati tunarudi kutoka Arusha Babu Bigirita alikukagua ndani ya gari kwahiyo ni kama vile umeishaharibikiwa btw hebu muacheni loner kama unataka kutapikiwa vipepeo au kupigwa free kick wewe endelea
 
<p></p>
<p>&nbsp;</p>
Babe, i love ya. i cant get you out of my head
Hahahah we Babu mkagua naniliu kumbe haya umenirushia mie? loh mwenzangu ulimpa yale vere vere hadi wivu ukanjaa, mie wanipa haya yaimbwayo na wabongo fleva?! ctaki
 
mwanajamii 1 huu ni uchokozi.sikuona hii maneno jana ningeomba upewe ban na moderator.lakini mbona nilimpa nafasi na Tf akashindwa kuzungumza?tatizo huyu dogo hajiamini kabisa akikutana na wanawake wazuri.niliona arusha alivyokuwa anateseka na hisia ndani ya roho baada ya kimwili kuwa karibu na loner lakini kiroho kushindikana ati!

hahahahaa mwenzangu mie kesi sitaki
 
Tatizo wewe dogo wakati tunarudi kutoka Arusha Babu Bigirita alikukagua ndani ya gari kwahiyo ni kama vile umeishaharibikiwa btw hebu muacheni loner kama unataka kutapikiwa vipepeo au kupigwa free kick wewe endelea
akinitapikia vipepeo me napiga chato mdomdogo hadi a town afu uone chalii wangu mziki utakaoibuka huko.yaani hata kwa wekundu huingii
 
kama jf hawataweka lile jukwaa tuliloomba la kutafuta mchumba,basi mwaka wangu wa 2011 utakuwa mbaya

FL,

Kwani kutafuta wachumba kunahitaji jukaa maalum? Mimi nashauri muandae orodha mpeleke kwa Invisible naye atairusha kama matangazo ya biashara au kazi anayorusha bure kwa hisani ya JF. Pia unaweza kumwomba atangaze kuwa wenye shida kama hiyo wampelekee majina yao na resume' ili avirushe hewani. Au wewe unaonaje?
 
yaani DC nitafute mcumba kama tangazo la biashara jamani?wengi waweza kuwa na shida ila sio kama za kwangu.hata hivyo hii sio ya kujadiliwa bado ipo chini ya kapeti asije huyu firstman wangu hapa akajua mppango yangu ya mwakani akagoma kula

Back
Top Bottom