afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
Same to you darling. Nimekumisi vibaya. Unajua nilipotea nikapoteza mpaka pasiwedi ya JF.
Hivi mara ya mwisho nlikukagua lini? Usijepata matiti phobia tafazali.
mmmmmhhhh babau mi nilizani kukaguana hiyo ni ya mwaka jana..
na mwaka huu nilifikiri utakuwa na kazi mpya ..
hahaha lol
babu hata mi nime ku miss sana yaani..
vizuri kukuona tena ..
cha muhimu zaidi naoana umeweza kutunza meno na kukata kucha....