The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Itabidi niombee muongozo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!!! Yaani na wewe umeishaanza kuwa na maslahi binafsi kama Derimto lol!!!!
Itabidi niombee muongozo
Wiselady hebu acha kuchungulia dirishani hapo chini sio mchezo mzuri hebu ingina ndani
Kwa yale nliyoyaona katika safari hi, nimegundua ndugu zetu wa kipande hiki wanaishi maisha magumu sana maana kila kitu ni ekisipensive, Kaizer, Roya na Nguli mliuokuwa Moshi nijuzeni mnawezajee kuishi katika mji kama huu...........ninajiuliza maswali mawili makuu
1. Inakuwaje Condom moja inauzwa 2500, mnamuduje?
2. Kwa nini condom hizo zauzwa pamoja na panadol? ile menu pale restraurant mh!!

OMG! Mawani yangu iko wapi?
Ngoja babu arudi kitandani!
Wiselady yupo? Mkimwiona mwambieni babu amepata habari zake. Ole wake!
Mjukuu kwa kumbukumbu sikuwezi ila pale na mimi nilijiuliza maswali mengi kuwa ile 2500 ni pamoja VAT au sijui ni made in wapi?? halafu na zile panadol sijui ni kwa ajili ya kuepusha yale mambo kama ya Rombo Green View
Kwa yale nliyoyaona katika safari hi, nimegundua ndugu zetu wa kipande hiki wanaishi maisha magumu sana maana kila kitu ni ekisipensive, Kaizer, Roya na Nguli mliuokuwa Moshi nijuzeni mnawezajee kuishi katika mji kama huu...........ninajiuliza maswali mawili makuu
1. Inakuwaje Condom moja inauzwa 2500, mnamuduje?
2. Kwa nini condom hizo zauzwa pamoja na panadol? ile menu pale restraurant mh!!
Hivi we nlikupa kazi gani?
Babu ulinzi shirikishi mbona ulifanikiwa vizuri tu usipate presha za bure maana ulinzi shirikishi uliwanyima watu wengine nafasi hadi nikaanza kulaumiwa
Punguza ushirikishi. Utaanza kubaguliwa kwenye kuhamishana meza kwenye kutaka nyonyo za ten sauzend!
Kwa yale nliyoyaona katika safari hi, nimegundua ndugu zetu wa kipande hiki wanaishi maisha magumu sana maana kila kitu ni ekisipensive, Kaizer, Roya na Nguli mliuokuwa Moshi nijuzeni mnawezajee kuishi katika mji kama huu...........ninajiuliza maswali mawili makuu
1. Inakuwaje Condom moja inauzwa 2500, mnamuduje?
2. Kwa nini condom hizo zauzwa pamoja na panadol? ile menu pale restraurant mh!!
Dah....
Hapa sidhani kama nimesoma fresh!!
Inabidi niazime miwani ya babu....
Mi mwenyewe nimekoma. Na mawani yangu sijui bibi kaifichia wapi.