Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
Heart braker!Lol ............sema neno moja tu.........roho yangu ifurahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heart braker!Lol ............sema neno moja tu.........roho yangu ifurahi
Sitaki kutumia nguvu nyingi kufanya kazi rahisi!!
The Following User Says Thank You to MwanajamiiOne For This Useful Post:
Bigirita (Today)
Baada ya kukagua si ndio una market sasa pia unaiprotect ile bidhaa kusudi :rain::rain:
kumbe ulipoambiwa unilinde,,ukaguzi nao ulihusika eee?
mh! isiwe tabu wacha nimrudishe babu ili unipumzishe
Sijawahi ona mtu anayelinda mali zake 24/7 kama Derimto halafu haongei chochote he's just observing
hatutashindwana ili mradi isiwe hapo kny stop that
Ukimrudisha yule babu aisee mimi nakula kona kama hivi :bolt::bolt:
Si unajua MAGENTLEMAN huwa hawaongei sana zaidi sana ni vitendo tu vinaongea
Out beyond ideas of wrongdoing and rightdoing, there is a field. I will meet you there.
Chalii umepotea kama avatar ya Max ya zamani. Niaje.......Nasikia Atown kila mtu anatoka machozi tu jana na leo
kwani alikufanya nini mpaka ule kona??mbona ulikuwa unampenda
Mimi niko FULU kabisa... Huku machozi ndiyo yana pungua saa hii.... Mambo ni magumu mno huku leo...
Pole kwa yote mpendwa! Nafurai kwamba hukudhurika.Mimi niko FULU kabisa... Huku machozi ndiyo yana pungua saa hii.... Mambo ni magumu mno huku leo...
Si unajua MAGENTLEMAN huwa hawaongei sana zaidi sana ni vitendo tu vinaongea
Mama mupe maneno nayoko mbianga maneno muzuri mupewa na papa DEHRII MUTOKA MBALI pata mayi sherry niko kumujini na mambo ya vibransio nakuja mulimani kuangalia uso yakoo bora
.........Lol kumbe Derimto ni mutu ya Congo......hii mitu ya Congo nasifika sana bana.......wapi Mama ya Kwanza animwagie sifa za mutu ya Congo??
Au Bigirita na The Finest nikumbusheni hapa mama ya kwanza alitusimulia wakati tunakwenda Ar......Mimi nimeshazeeka na hii menopozi ya ubongo nasahau haraka ati

Una bahati umepata foreigner lkn jiandae kumnunulia vipodozi,,n.k,n.k