Wana JF waondoka Tanga (Safiri salama)

Mwanyasi

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
7,955
Reaction score
7,109
Last edited by a moderator:
Natumani mambo yalikuwa bambam na sasa wanarudi makwao. Safari njema kwa wote.

Walifurahi sna kuona ............... kule mapangoni, kuna eneo moja lipo kati ya majani mapana na kisosora watu walipenda sana mandhari yake. marejesho atakupa picha za hilo eneo.
 
Last edited by a moderator:

asanteni sana kwa mapokezi mazuri karibuni sana chuga kwa day trip anapa lol naona kamsisitizo wa maneni kwenye jina ka Smile
 
Last edited by a moderator:

pamoja sana mkuu....watu wa Tanga mnatishaaaaa....kweli nimeamini kaskazi kaskazi tu....sio kama wale majamaa zetu wa pale kati....
 
Last edited by a moderator:
Waaoh!
Mkubwa sana Mwanyasi.
Mimi nilipokuwa natazama avatar yako nilikuwa nahisi mkuu huongeagi na watu!
Bt kila kitu kimekuja kuprove very wrong baada ya kuonana.

Mkuu unastahili kila sifa ya kugombea Ukatibu wa kundi la Tanga-Wing, japokuwa KOKUTONA ameahidi kuwa yuko tayari kuyanywa maji ya kule Pangani ili asafishe nyota na kuitwaa nafasi hiyo ya ukatibu...lol!
Mkuu pokea sifa kemkem, na ili kukuonyesha shukran wana -ArushaWing wameamua kwa kauli moja kukupa ofa ya One Night Stand na sweetlady pale Seaside Community Centre, kwa Sister MariaSalome!
Bili zote ziwe directed kwa account yetu iliyopo Meridian Biao Bank.
 
Last edited by a moderator:
It was great real. Enjoyable and fantastic. Msafiri salama bandugu,hope to see you again. MUNGU AKAWE DEREVA WA USAFIRI MTAKAOTUMIA. Wana JF wengine karibuni Tanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…