Wana JF waondoka Tanga (Safiri salama)

Wana JF waondoka Tanga (Safiri salama)

Tanga Raha Sana....
Dioc.jpg
 
he he....mi nakuhurumia wewe uliyekesha kwenye taarab....hivi ulialikwa au ni yale mambo yako ya kambi ya fisi kuzamia sherehe za watu....

Ndio maana kachelewa kuamka......!
Maji ya ukili sio mcheo ati......... ungalimii hayapo hayo ni TA tu.
 
Naomba ile crew yote ya jana inipongeze kwa kumbembeleza na kumnyamazisha Madame B. Naomba muwe waelewa kwamba sikutumia nafasi ile kujinufaisha kama mawazo ya Arushaone yanavyomtuma.
 
Last edited by a moderator:
he he....mi nakuhurumia wewe uliyekesha kwenye taarab....hivi ulialikwa au ni yale mambo yako ya kambi ya fisi kuzamia sherehe za watu....

we nawe!? Uliona wapi Bwana harusi akapewa kadi ya mwaliko!?
 
Dereva wa naniliu anatisha jamani...
Mkuu mi nakushauri umtafutie kazi hadi yule dereva wa jana Amboni-Pangani, maana alinisaidia sana kumnyamazisha Madame B.

Kweli Mkuu yule dereva alikupa tafu sana kunyamazisha Madame B, hivi bila yeye angenyamaza?
LakiSHARI lake tu ndio limenifurahisha hadi nikajisahau kutremka home.
 
Last edited by a moderator:
Naomba ile crew yote ya jana inipongeze kwa kumbembeleza na kumnyamazisha Madame B. Naomba muwe waelewa kwamba sikutumia nafasi ile kujinufaisha kama mawazo ya Arushaone yanavyomtuma.

Ila PakaJimmy waache wachonge, Me naomba Nije huko AraChuga, kisha uninyamazishe tena, na tena.
Afu uliliona lile jicho la Arushaone alilokuwa anatukata, mpaka nikabanwa na Kicheko.
 
Last edited by a moderator:
Dereva anakuhadithia sana wewe, hivi ulimfanyaje?

Hapana Chezea mimi, Yani nilimchukua, nikampaisha mpaka juu, then nikamshusha kisha nikadanki nae.
Katoka pale yuko hoi kama ametoka naniliiu.
Hivi kwa nini asingekuja tupande wote Mlima Kilimanjaro wa ndani ya Pango?????
Maana Nahisi ningemtupia Mgongoni kwangu.
 
Back
Top Bottom