Wana JF waondoka Tanga (Safiri salama)


Huyu hakuna cha kumlipa! Ni kuhakikisha tunamfunga kamba Arushaone ili bibie aifurahie ndoa yao!
 
Last edited by a moderator:
hahahaha! Mi nimekuja daslam mara moja kuwapokea hao watu wa tanga labda naweza ambulia unyunyu wa TA.

nimemfungia Madam B mchanga wa pangani unajua tofauti na wa huko hakikisha unaweka kwenye kisosa juu ya TV
 
Last edited by a moderator:

najichagulia zawadi nataka prado mie lol
 
Last edited by a moderator:
Kha ha ha ha ha haaaaaaa!!!!! Mi nimjua asingetoka huko kitu kama week moja!!!!

kiongozi tupo pamoja sana, ila kijana ndio keshaogea maji ya "ukili!". Akili imetoka na amebaki Tanga.
 
Kha ha ha ha ha haaaaaaa!!!!! Mi nilijua asingetoka huko kitu kama week moja!!!!


Hata akikaa mwaka mkuu,

Tutamlinda...jeshi la ardhini liko fiti kupita maelezo...

Halafu unajua nini....tunataka kuwa na Ta wingi nzito kupita A- wingi....

Subiri mtaona....

Babu DC!!
 
Hata akikaa mwaka mkuu,

Tutamlinda...jeshi la ardhini liko fiti kupita maelezo...

Halafu unajua nini....tunataka kuwa na Ta wingi nzito kupita A- wingi....

Subiri mtaona....

Babu DC!!

nimelipenda sana hilo wazo lenu. Hongereni sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…