Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
usiwe na wasiwasi watanilinda.. Jana mpaka unapitishwa kwako hujui
hahahaaa chezeya tabasamu la Smile
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiwe na wasiwasi watanilinda.. Jana mpaka unapitishwa kwako hujui
Jamani mnamwonaje Blaki Womani, a.k.a MKEMIA MKUU [chanzo: Preta], kwa jinsi alivyodhibiti bili aka invoices?
Aliniacha hoi alipogundua mara mbili mbinu za Ufisadi pale Nyinda na kule Seaside! Community Centre kwa Sister Maria-Salome?
Tumpe zawadi gani?
hahahaha! Mi nimekuja daslam mara moja kuwapokea hao watu wa tanga labda naweza ambulia unyunyu wa TA.
Hajui kuwa Dot com wanataka Ipad na Vitz au Funcargo!
Taratibu kamanda!
Hivi umeshaamka au ndo unasubiri nguo zikauke?
umesomeka Babu DC! Nitaufanyia kazi ushauri!
Jamani mnamwonaje Blaki Womani, a.k.a MKEMIA MKUU [chanzo: Preta], kwa jinsi alivyokuwa makini kudhibiti bili aka invoices?
Aliniacha hoi alipogundua mara mbili mbinu za Ufisadi pale Nyinda na kule Seaside! Community Centre kwa Sister Maria-Salome?
Tumpe zawadi gani?
Kha ha ha ha ha haaaaaaa!!!!! Mi nilijua asingetoka huko kitu kama week moja!!!!
Kha ha ha ha ha haaaaaaa!!!!! Mi nimjua asingetoka huko kitu kama week moja!!!!
Heheheee hivi nae yumo kwenye Tupo wangapi?
Embu nikumbushe tena uliokoa shiing' ngapi vile?najichagulia zawadi nataka prado mie lol
Ndo maana wewe ni special kwa babu....wafundishika ati...lol!!
Babu DC!!
Embu nikumbushe tena uliokoa shiing' ngapi vile?
Kha ha ha ha ha haaaaaaa!!!!! Mi nilijua asingetoka huko kitu kama week moja!!!!
kiongozi tupo pamoja sana, ila kijana ndio keshaogea maji ya "ukili!". Akili imetoka na amebaki Tanga.
Hata akikaa mwaka mkuu,
Tutamlinda...jeshi la ardhini liko fiti kupita maelezo...
Halafu unajua nini....tunataka kuwa na Ta wingi nzito kupita A- wingi....
Subiri mtaona....
Babu DC!!