Wana JF waondoka Tanga (Safiri salama)

Wana JF waondoka Tanga (Safiri salama)

Jamani mnamwonaje Blaki Womani, a.k.a MKEMIA MKUU [chanzo: Preta], kwa jinsi alivyodhibiti bili aka invoices?

Aliniacha hoi alipogundua mara mbili mbinu za Ufisadi pale Nyinda na kule Seaside! Community Centre kwa Sister Maria-Salome?
Tumpe zawadi gani?

Huyu hakuna cha kumlipa! Ni kuhakikisha tunamfunga kamba Arushaone ili bibie aifurahie ndoa yao!
 
Last edited by a moderator:
hahahaha! Mi nimekuja daslam mara moja kuwapokea hao watu wa tanga labda naweza ambulia unyunyu wa TA.

nimemfungia Madam B mchanga wa pangani unajua tofauti na wa huko hakikisha unaweka kwenye kisosa juu ya TV
 
Last edited by a moderator:
Jamani mnamwonaje Blaki Womani, a.k.a MKEMIA MKUU [chanzo: Preta], kwa jinsi alivyokuwa makini kudhibiti bili aka invoices?

Aliniacha hoi alipogundua mara mbili mbinu za Ufisadi pale Nyinda na kule Seaside! Community Centre kwa Sister Maria-Salome?
Tumpe zawadi gani?

najichagulia zawadi nataka prado mie lol
 
Last edited by a moderator:
Kha ha ha ha ha haaaaaaa!!!!! Mi nilijua asingetoka huko kitu kama week moja!!!!

Hata akikaa mwaka mkuu,

Tutamlinda...jeshi la ardhini liko fiti kupita maelezo...

Halafu unajua nini....tunataka kuwa na Ta wingi nzito kupita A- wingi....

Subiri mtaona....

Babu DC!!
 
Hata akikaa mwaka mkuu,

Tutamlinda...jeshi la ardhini liko fiti kupita maelezo...

Halafu unajua nini....tunataka kuwa na Ta wingi nzito kupita A- wingi....

Subiri mtaona....

Babu DC!!

nimelipenda sana hilo wazo lenu. Hongereni sana!
 
Back
Top Bottom