Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,341
- 5,543
Nimekuchukulia Machungwa! Uje unipokee Kisongo!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii yenye red imetulia kweli, au sijaielewa?
Pole sana babu pumzika salama
Thanks Arabela it was a great moment we had, karibu Arachuga.
Ha ha haa!Safari njema, wa dar tutawapokea airport ya ubungo bus terminal.
Ha ha haa!
We wa Dom umehamia lini Dar?
Watu wa Dar ukiwaambia:
"Nipo Ubungo-Maji ndo nafika stendi", watakujibu:
"Aisee, mi ndo nipo hapa Zakhiem nafika Dar-Live mara moja."!
Hehehehe! Mnakuja na fastjet au? Ahsante hata hayo machungwa yanatosha kunifuta machozi ya kuachwaNimekuchukulia Machungwa! Uje unipokee Kisongo!
Hivi Arabela nimeshakushukuru?
Mi nilikuwa nawangoja wenye papara zao waseme weee! maana maneno yao had kwenye kanga yapo.
Sasa ngoja mi nikushukuru mwaya, U were the best of the best!
Hebu nikumbushe tena namba yako kwenye Miss CC nikuongezee kura.
Lily Flower niahidi utamlinda akija Chugga, maana nina wasiwasi na......
Ha ha haa!
We wa Dom umehamia lini Dar?
Watu wa Dar ukiwaambia:
"Nipo Ubungo-Maji ndo nafika stendi", watakujibu:
"Aisee, mi ndo nipo hapa Zakhiem nafika Dar-Live mara moja."!
Nimekuchukulia Machungwa! Uje unipokee Kisongo!
Asante kwa kushkuru Mwaya.Pj ilikuwa bado hujanishukuru ila ahsante kwa kunikumbuka. Unajua kucare mwenyewe nakupa big up ulipombembeleza madame B
Hajui kuwa Dot com wanataka Ipad na Vitz au Funcargo!Nani alikwambia wewe Filipo kwamba kiroba cha machungwa ni romantic kwa wadada wa dot com??
Umebugi step meeeeeeeeeeeeen!!
Siku nyingine omba ushauri...sawa dogo wangu wa ukweli??
Babu DC!!
Nani alikwambia wewe Filipo kwamba kiroba cha machungwa ni romantic kwa wadada wa dot com??
Umebugi step meeeeeeeeeeeeen!!
Siku nyingine omba ushauri...sawa dogo wangu wa ukweli??
Babu DC!!