Wana JF waondoka Tanga (Safiri salama)

Wana JF waondoka Tanga (Safiri salama)

KOKUTONA shoga yangu itabidi tuunde kamati ndogo, tupange mikakati muhimu ya kuwakomesha... Tabia zao za 2012 zibakie huko huko wasivuke nazo kuingia 2013....

Kabisaa shosti, wasitutie aibu yaani. Tena hii kamati tuiunde haraka iwezekanavyo kabla hatujapata hasara.
 
Duh.......huu uzi.....wote tunaendeleaje lakini......? Tupo poa au.......🤷🏻‍♀️
 
Back
Top Bottom