Wana jf, who was your favourite celebrity in 2013?

Wana jf, who was your favourite celebrity in 2013?

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Mwaka unaelekea kuisha, tumeona na kushudia na kusikia mengi yaliyotendwa na watu wetu maarufu hapa Tz.

bila kujali itikadi yoyote ile, kidini, kisiasa, rangi, matendo yake katika jamii, anaishi vipi na watu,

tafadhali, tuambie ni celebrity yupi ambaye amefanya vizuri kwa mwaka huu!

kwangu mi nampa..

#diamond_platinumz !!

382376_179439575521638_1043222902_n.jpg
 
Kwangu KIJUKUU Young Daresalama.

Kazi zake za Kijukuu na Fununu zimenigusa sana.
 
Platnum z doin' great job kwangu amefunga mwaka huu cuz everytin' anagusa turns 2 diamond...bravo Nassibu.
 
Mi namkubali my wife,amefanya vizuri sana mwaka huu mpaka nimeacha sigara.
 
Back
Top Bottom