Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Mwaka unaelekea kuisha, tumeona na kushudia na kusikia mengi yaliyotendwa na watu wetu maarufu hapa Tz.
bila kujali itikadi yoyote ile, kidini, kisiasa, rangi, matendo yake katika jamii, anaishi vipi na watu,
tafadhali, tuambie ni celebrity yupi ambaye amefanya vizuri kwa mwaka huu!
kwangu mi nampa..
#diamond_platinumz !!