Acha uchawi
π€£π€£π€£π€£π€£πππππ daaah macho yao yatakuwa ya duara kama yale ya Ray C Rehema Chalamila.... basi ngoja nizidishe dua.Ninachojua ni kwamba,bundi ana macho makubwa kama wale mabikra tutakaogawiwa peponi basi.Hayo mengine sijayajua.
Fanya hima sheikh!π€£π€£π€£π€£π€£πππππ daaah macho yao yatakuwa ya duara kama yale ya Ray C Rehema Chalamila.... basi ngoja nizidishe dua.
Takabali dua π π π πFanya hima sheikh!
Aipeleke majukwaa mengine mbona yapo mengi.Halafu hii mada haitakiiwi kukaa jukwaa la Siasa