Wana 'Kahama' wote mnipokee tafadhali kwani nakuja 'Kuhiji' huko kwa 'Waganga' wenu wazuri kwakuwa kuna 'Mbabe' nimemkosea nataka anisamehe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ni 'Mbabe' ambaye Kiukweli alinipa Jukumu la Kutunza Nyumba yake nzuri ila Mimi kwa tamaa zangu ( japo ni Mchapakazi mzuri tu ) nikawa nachukua Magari yake ya 'Kifahari' na Kutamba nayo Mitaani nikijifanya yangu na Wambea wakamfikishia taarifa. Kuna Mtu kaniambia niende 'Kuhiji' Mji wa Kahama ambapo pia una 'Waganga' wazuri ambao wataweza Kumbadilisha Akili 'Mbabe' na hatimaye atanisamehe tu japo inasemekana 'Kusamehe' Kwake huwa kunategemeana na vile alivyoamka Siku husika.

Hata Mimi nina imani kuwa japo nimekuwa nikiyaendesha haya Magari yake ya Kifahari yaliyopo hapa Nyumbani Kwake ila kwa Utendaji wangu wa Kazi wa 'Kutukuka' kabisa hapa Kwake hasa wa Kufanya Usafi, Kufyeka Nyasi, kukatia vyema Maua, Kulisha vizuri Chakula Mbwa wake, Kuipendezesha na Kubuni mambo mazuri ya hii Nyumba basi nikishirikiana na Wafanyakazi wengine basi nae Bosi 'Mbabe' ataingiwa na 'Huruma' na Kunisamehe.
 
We kiumbe si nimekuita au dharau
 
Bosi mbabe ambae kamsamehe dhambi zake Mkurugenzi wa huko unakotaka kwenda?
 
Hili sina 'Ufahamu' nalo na ndiyo nalisikia hivi sasa kutoka Kwako Mkuu. Kwani kuna Mtanzania 'Kasamehewa' na Mtanzania Mwenzake? Lini Mkuu?
Ndio imetokea jana mbabe mmoja kamsamehe dhambi ya kununua gari aina shangingi na kuambiwa asirudie tena.
 
Kwema mkuu.

Kwani mkuu nyumba uliyopewa kuilinda, ndio ile ambayo maboss wa nchi ya Puerto Rico huwa wanagombania kupanga?
 
Aisee GENTA nimeanza kuelewa sasa huko kahama kweli panafaa 😂😂😂
255759346849_status_7c52dbb7e98143e5a03cf650c995a694.jpg
 
Back
Top Bottom