Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Embu nitajie kazi tatu tu za mbunge akiwa bungeni ambazo halima mdee hajazifanya.Binafsi siwezi kumchagua halima maana hakuna alichokifanya
Namchagua Gwajima mm
Mbowe hutafuna wale vitu maalum wote, na kuwahonga ruzuku na michango ya wabunge. Balance anatupia faru John, na kuvunja miguu. Kazi mnayo 28 oct. Saccos outBaba askofu mla kondoo, itakaa poa sana au sio!
Kanisa kaliongelea Kwa nguvu limemshinda itakuwa Jimbo hapo mnaongeza wapiga meza mjengoni tuKwani unamuonaye yan pande la mtu mtu ambaye kuleta maendeleo n rahisi kwake kama unavyomjua Gwajima lazima ataongea kwa nguvu zake zote bila kujali sura ya mtu
Halafu wote wanaandika pumba,atakuwa ameshawatafuna akili zimewatokaGwajiboy ameleta vijana jf, hahahaha.