Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Embu nitajie kazi tatu tu za mbunge akiwa bungeni ambazo halima mdee hajazifanya.Binafsi siwezi kumchagua halima maana hakuna alichokifanya
Namchagua Gwajima mm
Kisha nitajie kazi tatu tu za mbunge akiwa bungeni ambazo kibajaji, January makamba na mwigulu wanafanya wakiwa bungeni afu ndo ulete porojo zako za Newala huko mnakokunywa maji ya rope miaka 50 baada ya kinachoitwa uhuru