Wana kilimo naomba kujua zao la dengu jinsi ya kulima kiasi cha mavuno na bei

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
464
Reaction score
549
WANA KILIMO NAOMBA KUJUA ZAO LA DENGU JINSI YA KULIMA KIASI CHA MAVUNO NA BEI
Lentils-for-Smart-Diflufenican-656x400.jpg
 
Hapa ukiwapata wale kapichori wanaotumia dengu ndio watakueleza.

Mtu anayependa dengu akienda chooni kunakuwa na joto akitoka chooni yani utazani alikuwa anatoa jiko la gesi.
Hahahahha kwanini sasa
 
Mkuu nimewahi kulima ila sio mzoefu sana kwenye kilimo hiki.Nimelima kwa awamu tatu toafuti tofauti niliyo bahatika kutoa ni moja tu ambapo kwenye kila heka nilipata wastani wa gunia 4-5 zilikuwa heka 4

Kila heka moja huwa tunatumia dumu moja la mbegu za dengu yaani dengu zenyewe.
Kilimo hiki mara zote huwa wanalima na jembe la kuvutwa na ng'ombe au tractor hawapandi kama karanga bali huwa wanafuata mstari kwa mstari huku wakidondosha punje za dengu karibu karibu sana.

Zao hili halihitaji mvua kabisakabisa adui mkubwa wa zao hili ni mvua hivyo hustawi kwa kutegemea umade tu! kama mvua itanyesha basi inyeshe ila maji yasituame shambani.

zao hili hupandwa mwishoni mwa msimu yaani mvua zinapoenda kuisha au kuisha kabisa ndo hulimwa tena mbugani ndo hustawi zaidi.

Baada ya kuotesha vizuri kama unambolea za majani unaweza piga kuongeza uzalishaji sumu huhitajika pale tu unapoona wadudu shambani na huwa kuna misimu ya wadudu na mara kadhaa unaweza lima hadi kuivisha bila kupiga dawa!

Zao hili hukomaa pale utakapoona kutoka kuwa kijani hadi kahawia yaani kukauka hapo sasa ingia shambani vuna.
Sisi huwa tunapiga kwa kutumia tractor yaani linakanyaga lundo la dengu zake kisha wamama hupepeta na kufungasha.

Zao hili lina bei misimu yote kama tu mipaka imefuguliwa kwani wateja siku zote ni waarabu na wahindi gunia hufika hadi 260k au zaidi maana debe au dumu la lita 20 huuzwa 45-50k na mara chache sana kama mipaka imefungwa huuzwa kwa 35k hii haijawahi shuka hapo.

Ni zao lenye faida sana kwani halina mambo mengi but ni zao ambalo sio ajabu heka yote ukaambulia debe3au hata mbili kabisa.Usiniulize kwa nini. Jua tu majibu mazuri hutoka pale zinapoota vizuri ndo namatokea utaanza kuyaona hapohapo.

YANGU NI HAYO SUBIRI NA WENGINE
WANA KILIMO NAOMBA KUJUA ZAO LA DENGU JINSI YA KULIMA KIASI CHA MAVUNO NA BEIView attachment 3274300
 
Mkuu umemaliza kila kitu yaan hakuna kuongeza hata nukta hapa
 
Asante sana ndugu yangu nitajaribu
 
Mfa

Mifano ndio kwenye Hela Moja mzigo umekubali inaweza kutoa gunia ata 10?
 
WANA KILIMO NAOMBA KUJUA ZAO LA DENGU JINSI YA KULIMA KIASI CHA MAVUNO NA BEIView attachment 3274301
Ukitaka kujifunza zaidi kwa Sasa mwisho wa msimu wa mvua tembelea Wilaya ya Igunga hasa Kijiji Cha Choma Cha Nkol, Nenda Busangwa, Bubiki, Mipa, Bunambiyu huko Kuna wakulima wakubwa wa dengu utajifunza kwa vitendo.

Kama uko Mikoa ya Nyanda za juu Tunduru pia huwa Kuna maeneo wanajaribu kulimalima.
 
Back
Top Bottom