kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapime kwanza ubongo wako uone kama wewe ni size ya Jukwaa hili. Kama wewe ni Robot kamwe hatukujibu.Kuna mradi unaweza kufanyika bila feasibility study? Ni mradi gani haujaheshimu environmental impact assessment? Ni wapi ali mis use pesa? Alitakiwa afanye nini na akafanya nini? Hao Marais walioheshimu hivyo vitu nilivyokuuliza waliifikisha wapi nchi? Ni mradi gani wa CHADEMA uliowahi kufanywa kama chama? Remember kuna m 300 kila mwez za ruzuku, na kila mbunge anachangia 2m per month, bado misaada ya nje. Mnadhani nchi inaendeshwa kwa pombe za viroba? Unadhani kuna rais atakuja atakupa pesa mfukoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakojoe ukalale tayari umeshaingiza Buk7 zinakutoshaKamwambie mjomba wako agombee kama urais unatoka kwa bahati mbaya, nchi zote duniani zinaongozwa na wenye nguvu... Kama alikosa ujue hakustahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lowasa alikuwa mroho wa madaraka na ndiye aliyetuharibia nchi halafu karudi tena lumumba.Ndo maana Mbowe alimwita mdebwede.Alitaka kutumia fedha zake za kifisadi kuingia madarakani kwa mgongo wa nyumaUko sahihi! Angalia mamilioni aliyoyatumia kujengea Ikulu yake ya kisasa Chamwino Dodoma! Kisa tu eti Rais wa Kwanza alitamani makao makuu ya nchi yawe Dodoma! For what!! Halafu bora hata angekuwa anaishi basi! Muda huu anaishi kwenye Ikulu yake nyingine isiyo rasmi ya Chato!
Sasa Ikulu ya Magogoni atamuachia nani! Si wangeweka tu mgawanyo wa kimamlaka! Dodoma ungebakia kuwa mji wa Kibunge, Dar ungebakia kuwa mji wa Kiserikali, nk.
Tumepatwa!! JK Mungu anakuona. Na hii dhambi uliyotufanyia Watanzania, itakuletea majuto ya moyoni, kwenye maisha yako yote hapa duniani.
MAke TAnzania Great Again
Kweli wewe hamnazo so magu was powerfuKamwambie mjomba wako agombee kama urais unatoka kwa bahati mbaya, nchi zote duniani zinaongozwa na wenye nguvu... Kama alikosa ujue hakustahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi zile ajira mpya zaidi ya arobaini elfu mlizo tangazo juzi bungeni zitatekelezeka kweli kwa usawa huu wa Corona? au vijana waendelee kupambana na hali zao tu walizo zoezi?Corona tutaishinda Mkuu
Tuendelee kuchukua tahadhari zinazotolewa na viongozi wetu wa Afya kuhusu kupambana na corona
Mbona ninyi mlishangilia TL alipopigwa risasi?? Mkashangilia mtoto wa Mbowe kuugua Corona??Kweli inaingia akilini mtu anashangilia gonjwa la Corona linauwa watu kisa kiongozi wa nchi ashindwe kuleta maendeleo?
Mkuu huwezi jua next victim atakuwa nani, wewe, nduguyo au mimi au huyo unaye mchukia. Wewe huna exception katika kupata maambukizi ya hili gonjwa au pengine kupata madhara mabaya kabisa ya gonjwa hili.
Siasa zingine za ajabu sana na kujitoa ufahamu.
Nyanjomigire umeiweka in a very professional way!!Baada ya hii Corona, the world won't remain the same. Mataifa machanga kama Tanzania yanayotegemea hisani toka kwa mataifa mengine yatakuwa the biggest victims.
Mataifa mengi yanayoelewa yatawekeza zaidi kwenye huduma bora za afya kuliko miradi ya kijinga ya kutafutia sifa kwani kwa dunia ilivyo leo na Evolution inayotokea kuna dalili Pandemics nyingi bado zitakuja.
Rais wetu alipoingia madarakani kitu kukubwa alichofanya ni kuharibu mahusiano mema na jumuia ya wafadhili, exactly kama walivyofanya akina Mugabe, Chavez, Gaddafi nk kitu ambacho ktk awamu yake ya mwisho ndio itakuwa his economic death bed.
China ambayo labda angewakimbilia ili wampe economic handouts ndio hivyo tena uchumi wao umeshaporomoka kwa 6.8% na kufanya warudi pale walipokuwa mwaka 1990 yaani miaka thelathini nyuma.....!!!
Miradi yoote aliyoanzisha Mr. Magufuli hayataweza kuendelea na kuna uwezekano mkubwa yakaachwa kabisa baada ya 2025 kwani hayana Economic Viability.
BTW, Two wrongs don't make a right.Mbona ninyi mlishangilia TL alipopigwa risasi?? Mkashangilia mtoto wa Mbowe kuugua Corona??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wewe hamnazo so magu was powerfu
Kakojoe ukalale tayari umeshaingiza Buk7 zinakutosha
Kapime kwanza ubongo wako uone kama wewe ni size ya Jukwaa hili. Kama wewe ni Robot kamwe hatukujibu.
Kwa hiyo wewe unaringia makalio kama Bashite. Haya bidada endelea kutikisa uchumiNdo hoja zenu zinaishia hapo? Unadhani tunaendesha maisha kwa siasa? Endelea kulia lia humu JF, ila urais sio makalio kila mtu anayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hujajijua kama wewe ni bumunda na kuniita mimi kiazi rudi kwenye posts zangu angalia napata likes ngapi na kwa watu wenye profile gani.Kiazi huna hoja... Tutawanyoosha humu, Nilikujua tu huwezi kujibu utakimbilia upuuzi. Kamwite boss wenu aje kujibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna alieshangilia hapo kweli ! Hapo si kaeleza hisia zake tu. Ina maana hayo aliyoeleza yana ukweli hadi umuone kuwa anashangilia.Hivi hii kweli inaingia akilini kuona mtu anashangilia ikikwama miradi ya maendeleo ambayo faida zake zingenufaisha wote akiwemo na yeye na nduguze au uzao wake, wanufaika ni wale wanao mchukia Magufuli na wanao mpenda?
Wachukia China mnavyojifariji na kuchimbia kichwa mchangani inachekesha.Baada ya hii Corona, the world won't remain the same. Mataifa machanga kama Tanzania yanayotegemea hisani toka kwa mataifa mengine yatakuwa the biggest victims.
Mataifa mengi yanayoelewa yatawekeza zaidi kwenye huduma bora za afya kuliko miradi ya kijinga ya kutafutia sifa kwani kwa dunia ilivyo leo na Evolution inayotokea kuna dalili Pandemics nyingi bado zitakuja.
Rais wetu alipoingia madarakani kitu kukubwa alichofanya ni kuharibu mahusiano mema na jumuia ya wafadhili, exactly kama walivyofanya akina Mugabe, Chavez, Gaddafi nk kitu ambacho ktk awamu yake ya mwisho ndio itakuwa his economic death bed.
China ambayo labda angewakimbilia ili wampe economic handouts ndio hivyo tena uchumi wao umeshaporomoka kwa 6.8% na kufanya warudi pale walipokuwa mwaka 1990 yaani miaka thelathini nyuma.....!!!
Miradi yoote aliyoanzisha Mr. Magufuli hayataweza kuendelea na kuna uwezekano mkubwa yakaachwa kabisa baada ya 2025 kwani hayana Economic Viability.