Wana MATAGA tunawaza, jamaa yetu ataacha LEGACY ipi? Maana haka ka corona kamevuruga mapato, na miradi haijaisha

Kapime kwanza ubongo wako uone kama wewe ni size ya Jukwaa hili. Kama wewe ni Robot kamwe hatukujibu.
 
Lowasa alikuwa mroho wa madaraka na ndiye aliyetuharibia nchi halafu karudi tena lumumba.Ndo maana Mbowe alimwita mdebwede.Alitaka kutumia fedha zake za kifisadi kuingia madarakani kwa mgongo wa nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona tutaishinda Mkuu

Tuendelee kuchukua tahadhari zinazotolewa na viongozi wetu wa Afya kuhusu kupambana na corona
Mkuu hivi zile ajira mpya zaidi ya arobaini elfu mlizo tangazo juzi bungeni zitatekelezeka kweli kwa usawa huu wa Corona? au vijana waendelee kupambana na hali zao tu walizo zoezi?
 
Baada ya hii Corona, the world won't remain the same. Mataifa machanga kama Tanzania yanayotegemea hisani toka kwa mataifa mengine yatakuwa the biggest victims.

Mataifa mengi yanayoelewa yatawekeza zaidi kwenye huduma bora za afya kuliko miradi ya kijinga ya kutafutia sifa kwani kwa dunia ilivyo leo na Evolution inayotokea kuna dalili Pandemics nyingi bado zitakuja.

Rais wetu alipoingia madarakani kitu kukubwa alichofanya ni kuharibu mahusiano mema na jumuia ya wafadhili, exactly kama walivyofanya akina Mugabe, Chavez, Gaddafi nk kitu ambacho ktk awamu yake ya mwisho ndio itakuwa his economic death bed.

China ambayo labda angewakimbilia ili wampe economic handouts ndio hivyo tena uchumi wao umeshaporomoka kwa 6.8% na kufanya warudi pale walipokuwa mwaka 1990 yaani miaka thelathini nyuma.....!!!

Miradi yoote aliyoanzisha Mr. Magufuli hayataweza kuendelea na kuna uwezekano mkubwa yakaachwa kabisa baada ya 2025 kwani hayana Economic Viability.
 
Mbona ninyi mlishangilia TL alipopigwa risasi?? Mkashangilia mtoto wa Mbowe kuugua Corona??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyanjomigire umeiweka in a very professional way!!
 
Kama wewe haupo ni vema mkuu lkn hawa manzi ya kijani yakiongozwa na bosi wao yanawabagua sana wapinzani,majuzi hapa katoka kuropoka Polepole eti anawafananisha wapinzani na Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi kupingwa kwa kila anachofanya,fananisha na mtu anayejiona yeye ndo yeye mtaani,watu wote wanatamani tu aanguke washangilie,kiongozi Bora anatoa mwongozo wananchi wanaafiki,wanaleta mabadiliko.
Only Tanzanias can make Tanzania great,Not a single person.
 
Hivi hii kweli inaingia akilini kuona mtu anashangilia ikikwama miradi ya maendeleo ambayo faida zake zingenufaisha wote akiwemo na yeye na nduguze au uzao wake, wanufaika ni wale wanao mchukia Magufuli na wanao mpenda?
Kuna alieshangilia hapo kweli ! Hapo si kaeleza hisia zake tu. Ina maana hayo aliyoeleza yana ukweli hadi umuone kuwa anashangilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachukia China mnavyojifariji na kuchimbia kichwa mchangani inachekesha.
Unavyoporomoka kwa kasi uchumi wa Marekani na Magharibi hamuoni??

China amerudi mapema sana kwenye uzalishaji na jinsi hao jamaa unaowashangilia walivyo hitaji bidhaa zinazo zalishwa China kipindi hiki walichojifungia ndani na kupambana na janga la Corona utaona majibu yake muda mfupi tu kabla ya miaka miwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…