Wana MATAGA tunawaza, jamaa yetu ataacha LEGACY ipi? Maana haka ka corona kamevuruga mapato, na miradi haijaisha

Angalia jinsi Corona ilivyo poromosha uchumi unaotegemea mafuta (petroleum).
Sote tunajuwa nguvu ya dola ni mfumo wa Petrodollar.

Hili janga linatutesa wote matajiri hadi maskini, mashariki hadi magharibi, kusini hadi Kaskazini.
COVID-19 limekuja kuleta anguko kubwa la Marekani zaidi ya anguko la China.
 
Hata lile zindiko LA mwenge limeshindikana mwaka huu,
 
Hivi hii kweli inaingia akilini kuona mtu anashangilia ikikwama miradi ya maendeleo ambayo faida zake zingenufaisha wote akiwemo na yeye na nduguze au uzao wake, wanufaika ni wale wanao mchukia Magufuli na wanao mpenda?
Mbwembwe na kejeli zenu zimeharibu miradi
 
Miradi ya kupiga 10% hiyo. mbona kwenye miradi ya kusaidoa wanyonge kama kupambana na korona hatumuoni
 
Mbwembwe na kejeli zenu zimeharibu miradi
Kwamba hizo mbwembwe na kejeli za nchi iliyopo Afrika imeleta COVID-19 duniani na kuharibu miradi ya nchi mbalimbali au?
Na kule nchi zilizo endelea mambo magumu ilikuwa mbwembwe zao?
 
Kwamba hizo mbwembwe na kejeli za nchi iliyopo Afrika imeleta COVID-19 duniani na kuharibu miradi ya nchi mbalimbali au?
Na kule nchi zilizo endelea mambo magumu ilikuwa mbwembwe zao?
Tuliwaonya mtafeli nyie mkakazana kusifu na luabudu ujinga, hela ya kumalizia hiyo miradi Hamna, hiyo ni white elephant projects.
 
Mmeanza excuses kibao. Ukweli uchumi wetu ulianza kuanguka toka 2015 Oct.
 
Tuliwaonya mtafeli nyie mkakazana kusifu na luabudu ujinga, hela ya kumalizia hiyo miradi Hamna, hiyo ni white elephant projects.
Ujinga wa mtu unaonekana kwenye maandishi ya mtu, chuki na hasira zisizo dhibitiwa pia huonesha kiwango cha ujinga wa muhusika.

Mtu hashauriwi kwa matusi au kejeli, mtu asiye tambua heshima ya uongozi uliopo kwenye jamii anayo ishi ni mjinga wa elimu ya maadili na uraia mwema.
 
KOrona ipe wiki 6-8, itapita na maisha yataendelea.
 
Ninatofautiana na hiyo hoja yako, uchumi wa China tayari umeshaporomoka kwa 6.8% na kuirejesha uchumi wake ilipokuwa miaka 30 nyuma 1990.
 
Corona ikiendelea mpaka 2023 chattle itakuwa kama Ulaya.
 
Porojo tu hizo, hujui mambo ya uchumi wewe. Unaleta hadithi za vijiweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…