mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Utendaji wa Sugu ni upi Mbeya? Tujuzane wana jamviKwa taarifa yako ni kuwa mh Sugu hapa mbeya wala hatumiagi fedha ili tumchague.
Sisi tunachagua utendaji wake wala siyo fedha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utendaji wa Sugu ni upi Mbeya? Tujuzane wana jamviKwa taarifa yako ni kuwa mh Sugu hapa mbeya wala hatumiagi fedha ili tumchague.
Sisi tunachagua utendaji wake wala siyo fedha.
Wamewezesha wazazi wako kujamiiana na wewe kuzaliwaCcm mmekaa madarakani kwa miaka karibu 60 nini mmetufanyia sisi wananchi?
Utendaji wa Sugu ni upi Mbeya? Tujuzane wana jamvi
Write your reply...naona mnabunya tu Pesa za nyanya chungu Wa watu(tulia) huku mkijua mbeya wanajitambua.
Wamewezesha wazazi wako kujamiiana na wewe kuzaliwa
Huo ni ubaguzi wa kikanda, jibu hoja mbona unakwepa?
Na sasa ndio imchokwa zaidi/ Magufuli alitegemewa kurudisha imani ndio kabis kafanya hovyo.Mwaka 2010 sugu alipita kwa sababu watu walimchoka yule mzee mpesya(Kama sijakosea jina) wa ccm na 2015 ccm ilikuwa imechokwa,2020...?

Huna hoja wewe, unaunga unga tu
Na sasa ndio imchokwa zaidi/ Magufuli alitegemewa kurudisha imani ndio kabis kafanya hovyo.
hahahaa Sugu mwenyewe ameshaona maji ya shingo anataka kuhamia ccmTumeshaamua tu na hatumtaki kabisa hapa mbeya
Akihamia ccm hakuna dhambi maana atakuwa anatumia uhuru wake kikatiba baada ya kukataa kununuliwa kama mtumwahahahaa Sugu mwenyewe ameshaona maji ya shingo anataka kuhamia ccm
Mnampa huyo mama kazi ngumu sana wakati wa kampeni, mngemuacha tu agombee Rungwe asingetumia nguvu nyingi na rasilimali nyingi. Ila pia mngepunguza vurugu zisizokuwa na lazimaWewe na WanaMbeya wakina nani? Mimi na rafiki zangu kama 100 tutamchagua Dr Tulia kuwa Mbunge wetu 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ushawishi wa huyu dada Mbeya unaongezeka Kila uchao na Kama upo karibu na sugu mwambie asipoteze pesa nyingi kwa kampeni,afanye maisha maana lolote laweza tokea.
Sugu the most voted MPKwa taarifa yako ni kuwa mh Sugu hapa mbeya wala hatumiagi fedha ili tumchague.
Sisi tunachagua utendaji wake wala siyo fedha.