Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Mkuu ushawishi wa huyu dada Mbeya unaongezeka Kila uchao na Kama upo karibu na sugu mwambie asipoteze pesa nyingi kwa kampeni,afanye maisha maana lolote laweza tokea.
Ushawishi up kamshawishi nani na wapi walipo shawishika
 
We we awezi nakwambia uyu Dada atageukwa atabaki anashangaa mpaka anao waamini watamgeuka akivnakwambia
Tunza/hifadhi maneno yako Ndugu. Ni suala la muda tu. Kwa mustakabali wa Jimbo ukiacha ushabiki wa kupigizana kelele Mbeya mnamhitaji huyu Mtu kwa sasa na ndani ya miaka mitano (5) mtaona tofauti kubwa sana
 
Huyo binti atulie tu na jimbo lake la magogoni huko atakuwa na uhakika wa kupita maana hakuna ushindani
Ushawishi up kamshawishi nani na wapi walipo shawishika
 
Pia wana mbeya ni watu wenye upendo hivyo kuongozwa na mtu asiye na upendo na aliyejawa na chuki na visasi hatupo tayari
Atujawai kuongozwa na mwanamke
 
Back
Top Bottom