Mbai kwa upande wa chadema wanaweza ila upande wa Ccm wanakwama
Kwanza kukwama kunatokana na uwezo wa chadema kuwa wajuaji kuliko wasikilizaji
Pili chadema kuwa na hasira bila kuruhusu ukweli uwe wazi ili ajue nini kifanyike
Tatu ni watu walio aminishwa kuwa wanaonewa hata kama wanajua wamevunja sheria za nchi
Mbwai na isiwe mbwai
Ila mpumbavu mwonyeshe heshima na upendo ili ajifunze kwako
2020 sugu atashinda kwasababu ya ushindani wa wana sisiem wenyewe hawapendani maana Marry Mwanjelwa ndio mwenye jimbo kwa maana yeye ndio mwenye asili ya hili jimbo yule dada asili yake ni Rungwe je Sister anataka na Marry aende wapi?Mwaka 2010 sugu alipita kwa sababu watu walimchoka yule mzee mpesya(Kama sijakosea jina) wa ccm na 2015 ccm ilikuwa imechokwa,2020...?
Wanachohitaji wana Mbeya ni maendeleo na sio hizo ngonjera, Mbeya ni jiji inabidi iwe na hadhi ya jiji kimiundo mbinu katika nyanja zote, kama tukiwa na MP wa CCM na maendeleo yakaja kuna haja gani kuendelea kumng'ang'ania day worker? Tuliambiwa maendeleo hayaji sababu ya upinzani basi tusome alama za nyakati kwa manufaa mapana ya Mbeya tuache ubinafsi.
Ungesema sisi mazombi,ningekuelewa vinginevyo hakuna aliekutuma ni wewe tu na nafsi yakoNimesema... SISI WANA MNEYA... Nadhani umnielewa vizuri hapo
2020 sugu atashinda kwasababu ya ushindani wa wana sisiem wenyewe hawapendani maana Marry Mwanjelwa ndio mwenye jimbo kwa maana yeye ndio mwenye asili ya hili jimbo yule dada asili yake ni Rungwe je Sister anataka na Marry aende wapi?
Natabiri marry atanyamazishwa mapema kwa amri ya mwenyekiti na ndio Moto utakapoanzia kuwaka kwa ushindani ccm vs chadema2020 sugu atashinda kwasababu ya ushindani wa wana sisiem wenyewe hawapendani maana Marry Mwanjelwa ndio mwenye jimbo kwa maana yeye ndio mwenye asili ya hili jimbo yule dada asili yake ni Rungwe je Sister anataka na Marry aende wapi?
Mkuu umewahi kuishi KenyaHizo siasa wanaziweza wenzetu Kenya [emoji1139].
Wao wamestaarabika sana ndiyo maana hata maendeleo wenzetu wapo juu.
Sisi wapinzani tulijaribu sana kufanya siasa za kistaarabu lkn wenzetu wametugeuza maboya
Inawezekana mpaka sasa ameahidiwa uwaziri kabisa au nafasi nyingine ifananayo na hiyo au kubwa zaidi ya hiyoNatabiri marry atanyamazishwa mapema kwa amri ya mwenyekiti na ndio Moto utakapoanzia kuwaka kwa ushindani ccm vs chadema
πππππHakika atapata hukumu yake kutoka kwa mwenyezi mungu maana yeye ndiye hiyo mamlakaView attachment 1278170
ππ nabashiri huenda ikakaa vizuri maana kubashiri unaweza kupata au kukosa.Kazi ya utabiri umeianza lini?
Inawezekana mkuu.Inawezekana mpaka sasa ameahidiwa uwaziri kabisa au nafasi nyingine ifananayo na hiyo au kubwa zaidi ya hiyo