Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Hizo siasa wanaziweza wenzetu Kenya [emoji1139].
Wao wamestaarabika sana ndiyo maana hata maendeleo wenzetu wapo juu.

Sisi wapinzani tulijaribu sana kufanya siasa za kistaarabu lkn wenzetu wametugeuza maboya
Mbai kwa upande wa chadema wanaweza ila upande wa Ccm wanakwama

Kwanza kukwama kunatokana na uwezo wa chadema kuwa wajuaji kuliko wasikilizaji

Pili chadema kuwa na hasira bila kuruhusu ukweli uwe wazi ili ajue nini kifanyike

Tatu ni watu walio aminishwa kuwa wanaonewa hata kama wanajua wamevunja sheria za nchi

Mbwai na isiwe mbwai

Ila mpumbavu mwonyeshe heshima na upendo ili ajifunze kwako
 
Mwaka 2010 sugu alipita kwa sababu watu walimchoka yule mzee mpesya(Kama sijakosea jina) wa ccm na 2015 ccm ilikuwa imechokwa,2020...?
2020 sugu atashinda kwasababu ya ushindani wa wana sisiem wenyewe hawapendani maana Marry Mwanjelwa ndio mwenye jimbo kwa maana yeye ndio mwenye asili ya hili jimbo yule dada asili yake ni Rungwe je Sister anataka na Marry aende wapi?
 
Una maanisha kuwa maendeleo yanapatikana kwa upendeleo?
Wanachohitaji wana Mbeya ni maendeleo na sio hizo ngonjera, Mbeya ni jiji inabidi iwe na hadhi ya jiji kimiundo mbinu katika nyanja zote, kama tukiwa na MP wa CCM na maendeleo yakaja kuna haja gani kuendelea kumng'ang'ania day worker? Tuliambiwa maendeleo hayaji sababu ya upinzani basi tusome alama za nyakati kwa manufaa mapana ya Mbeya tuache ubinafsi.
 
Huyo mbana pua wa ccm ni kiburi sana na PhD yake ya mahakama fanyeni mumkomoe maana keshawatoa kafara vijana wawili wa chama cha biringanya.
 
Waache watoane macho wenyewe kwa wenyewe
2020 sugu atashinda kwasababu ya ushindani wa wana sisiem wenyewe hawapendani maana Marry Mwanjelwa ndio mwenye jimbo kwa maana yeye ndio mwenye asili ya hili jimbo yule dada asili yake ni Rungwe je Sister anataka na Marry aende wapi?
 
2020 sugu atashinda kwasababu ya ushindani wa wana sisiem wenyewe hawapendani maana Marry Mwanjelwa ndio mwenye jimbo kwa maana yeye ndio mwenye asili ya hili jimbo yule dada asili yake ni Rungwe je Sister anataka na Marry aende wapi?
Natabiri marry atanyamazishwa mapema kwa amri ya mwenyekiti na ndio Moto utakapoanzia kuwaka kwa ushindani ccm vs chadema
 
Hizo lugha za kijinga Jinga zimebakia ndani ya lumumba maana ndiyo hao wadudu waliko jazana ukiwemo wewe kama kiongozi wao
Ungesema sisi mazombi,ningekuelewa vinginevyo hakuna aliekutuma ni wewe tu na nafsi yako
 
Hizo siasa wanaziweza wenzetu Kenya [emoji1139].
Wao wamestaarabika sana ndiyo maana hata maendeleo wenzetu wapo juu.

Sisi wapinzani tulijaribu sana kufanya siasa za kistaarabu lkn wenzetu wametugeuza maboya
Mkuu umewahi kuishi Kenya

Acha kudanganywa kuwa Kenya wako juu

Kenya wananchi wanamaisha magumu kutoka na Sera zao za kibepari

Ila wakiwa majukwaani utahisi ni wasitaarabu kweli
 
Natabiri marry atanyamazishwa mapema kwa amri ya mwenyekiti na ndio Moto utakapoanzia kuwaka kwa ushindani ccm vs chadema
Inawezekana mpaka sasa ameahidiwa uwaziri kabisa au nafasi nyingine ifananayo na hiyo au kubwa zaidi ya hiyo
 
Hakika atapata hukumu yake kutoka kwa mwenyezi mungu maana yeye ndiye hiyo mamlaka
Huyo mbana pua wa ccm ni kiburi sana na PhD yake ya mahakama fanyeni mumkomoe maana keshawatoa kafara vijana wawili wa chama cha biringanya.
tapatalk_1464811136325.jpeg
 
Back
Top Bottom