Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Nyie toeni povu hapa ila ijulikane Tulia ndiye Mmbunge mtarajiwa wa Mbeya mjini "The system will never be fair"
 
Jaramba wanapiga wengi tu hivyo hiyo siyo kigezo
Mwakani tukiwa wazima tutajua tu mkuu hakuna shaka,ila huyu dada kwa jaramba azopiga Mbeya na vile anataka ubunge usio wa kupewa basi mgombea mwenzake ajiandae.
 
Naona leo hii umeamua kumhakikishia huyo Betina ushindi!!!
Mkuu Kuna uzi mwingine upo humu jamaa anasema wapo 100 wamesaidiwa kwa hiyo wameanza kampeni mapemaa,we endelea kupinga wenzako wanapiga kampeni za chini chini.
 
Back
Top Bottom