Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Si ndiyo maana nikakukaribisha uje home tuone nani ni fala wa ukweli!! Mmawia anakuuza ananijua kuna siku alijipendekeza kidogo aingie kwenye 18
Kwani nawewe mwanaume kwani?
Basi una hatari, bila shaka wewe ni Bwabwa. Binafsi nimekuona Mdada fulani hivi tu regardless jinsia yako. Hata Kinyesi Nitatifua tu, acha Kujipendekeza kwa Wanaume wewe.
 
Labda mbunge wa nyumbani kwako
Kijana naona mvua za mbeya zimeharibu biashara yako ya umachinga pale sido sasa unakuja kumalizia hasira zako hapa....huyu sugu hana la maana alilofanya for ten years then unakuja na taarabu zako za kikinga hapa.
 
Wana Mbeya unaowazungumzia hapa ni hako kakikundi ka wahuni mnaopewa offer na huyo Mmbunge wenu za kula kitimoto kwa batili hapo na vikonyagi kisha mnakuja kubwata hapa jukwaani??? Vijana fanyeni kazi huyo mnaemsemea ameshasoma alama za nyakati kwamba 2020 hawez kurudi bungeni kwa ticket ya Mbeya mjini labda aende kwao huko ukinga.
 
Ulitaka nilete boko boko za kisukuma ebooo

Kweli nyani haoni kundule, Unadhani wote ni ombaomba kama nyinyi uvccm?
 
Ebu mcheki hapo siku alivyo kuwa anatambika
Hivi ni dada au mama?!
Screenshot_20190924-085502.jpeg
 
Back
Top Bottom