Samson Ngomboli
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 1,598
- 2,710
Mwakani tukiwa wazima tutajua tu mkuu hakuna shaka,ila huyu dada kwa jaramba azopiga Mbeya na vile anataka ubunge usio wa kupewa basi mgombea mwenzake ajiandae.Maviiii xx huyuuuu? Tupa kuleeeeee
Nchi yetu ukanda huu toka Kenya hadi SA tulikuwa wa kwanza kupata Uhuru lakini kimaendeleo nchi zote zimetupita.mmetufanyia
Mkuu Kuna uzi mwingine upo humu jamaa anasema wapo 100 wamesaidiwa kwa hiyo wameanza kampeni mapemaa,we endelea kupinga wenzako wanapiga kampeni za chini chini.Jaramba wanapiga wengi tu hivyo hiyo siyo kigezo
Tembea mbeya uoneSugu hatukumchagua ili akaonyeshe DOLE LA KATI bungeni ,,
Ebu nambie amefanya nini sugu mda wote alio kaa madarakani
Nitaishia Kukufyatua tu huko. Sitaki dhambi bure!Njoo home
Hapana mkuu tunaangalia kwa jicho la tai toka mbali na kuujua ukweli.Naona leo hii umeamua kumhakikishia huyo Betina ushindi!!!
Ngoja, Mwache anapenda Kuzoea Wanaume. Nampelekea Myoto, fala huyu.Kamfyatue tu maana hana faida huyo
Nakupelekea Myote Kenge wewe, Usizoee wanaume.Kunifyatua!! Kwani nimekuwa bomu?
Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.
Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.
Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.
View attachment 1278080