Kwani nawewe mwanaume kwani?Si ndiyo maana nikakukaribisha uje home tuone nani ni fala wa ukweli!! Mmawia anakuuza ananijua kuna siku alijipendekeza kidogo aingie kwenye 18
Nenda Mbeya kaone!Sugu hatukumchagua ili akaonyeshe DOLE LA KATI bungeni ,,
Ebu nambie amefanya nini sugu mda wote alio kaa madarakani
Kijana naona mvua za mbeya zimeharibu biashara yako ya umachinga pale sido sasa unakuja kumalizia hasira zako hapa....huyu sugu hana la maana alilofanya for ten years then unakuja na taarabu zako za kikinga hapa.Labda mbunge wa nyumbani kwako
Nitaendaje Getho kwa Demu. Wewe ndiyi nifuate Dume.Tuandikie mate na wino upo njoo tu mwanaume washoka tukuone uanaume.wako mkuu!
Sugu hana madarakaSugu hatukumchagua ili akaonyeshe DOLE LA KATI bungeni ,,
Ebu nambie amefanya nini sugu mda wote alio kaa madarakani
Huyu dada apigwe chini tu.
Kijana naona mvua za mbeya zimeharibu biashara yako ya umachinga pale sido sasa unakuja kumalizia hasira zako hapa....huyu sugu hana la maana alilofanya for ten years then unakuja na taarabu zako za kikinga hapa.
Kweli nyani haoni kundule, Unadhani wote ni ombaomba kama nyinyi uvccm?Wana Mbeya unaowazungumzia hapa ni hako kakikundi ka wahuni mnaopewa offer na huyo Mmbunge wenu za kula kitimoto kwa batili hapo na vikonyagi kisha mnakuja kubwata hapa jukwaani??? Vijana fanyeni kazi huyo mnaemsemea ameshasoma alama za nyakati kwamba 2020 hawez kurudi bungeni kwa ticket ya Mbeya mjini labda aende kwao huko ukinga.
Inategemea na umri wakoHivi ni dada au mama?!
Na hako kamama kamefanya nini muda wote kapo bungeni au serikalini?Sugu hatukumchagua ili akaonyeshe DOLE LA KATI bungeni ,,
Ebu nambie amefanya nini sugu mda wote alio kaa madarakani