Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna maandiko kwenye vitabu vya dini husema "rushwa hupofusha macho"kwa mantiki hiyo pesa zake huenda zikampa ubunge kwa kishindo.Hakuna Cha Ushawishi mkuu. Au Unasimuliwa. Kelele za Magari kila uchao kwenye makazi ya Watu ndiko kukubalika.
Anajaribu Kutumia Nguvu kubwa naKugawa gawa Pesa kwa wanawake, lakini anajua fika hawezi Kupata Kura za uhalali.
Yetu macho,Mungu akitupa uhai nitakuja ufufua huu uzi.Haijalishi maana hata wabunge walio gombea na mh Sugu walikuwa wana wanufaisha wana mbeya lkn tuliwakataa
Mbai kwa upande wa chadema wanaweza ila upande wa Ccm wanakwamaHaitusumbui maana sasa ni kama mbwai na iwe mbwai
hilo tusi umeliona kwangu tu..alivyo anza kutukana hukuona hilo ??Matusi hayatakusaidia
factWanachohitaji wana Mbeya ni maendeleo na sio hizo ngonjera, Mbeya ni jiji inabidi iwe na hadhi ya jiji kimiundo mbinu katika nyanja zote, kama tukiwa na MP wa CCM na maendeleo yakaja kuna haja gani kuendelea kumng'ang'ania day worker? Tuliambiwa maendeleo hayaji sababu ya upinzani basi tusome alama za nyakati kwa manufaa mapana ya Mbeya tuache ubinafsi.
Kutenda haki, msingekuwa mnachunana ngozi, MPUMBAVU we!
Jisemee wewe,hakuna aliekutumaSisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.
Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.
Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.
View attachment 1278080
Sugu hatukumchagua ili akaonyeshe DOLE LA KATI bungeni ,,
Ebu nambie amefanya nini sugu mda wote alio kaa madarakani
Niende !!!sehemu ambayo nipo?? Au ndo mambo ya time travelingNenda mbeya ukaone alichofanya.
iam 69 with your mama .na mvua hii hapa mbeyaInawezekana hapo kwenu koromitdje ulipo kuna mtaa unaitwa mbeya